Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane. Ameomba talaka kwa mumewe ambaye ni shoga! Ushauri wenu

Salaam kwenu nyote!

Aisee kuna wakati hapa duniani binadamu tunajikuta katika mazingira magumu sana.

Hoja iko hivi, huyu binti (dada) tulikutana naye 2004 Novemba, tukapendana yeye wakati huo alikuwa anajiandaa kwenda A level, mimi nikaingia mitaani bongo kuzisaka. Baadae kulitokea mengine ya kawaida katika mahusiano yaliyopeleka yeye kunipiga kibuti. Nikiri kwamba huyu binti nilimpenda sana na kuniacha kule kulinichanganya sana. Ilinichukua miaka miwili kupona majeraha lakini sikuacha kumpenda.

Ilipita muda ila kama 2008 tukajaribu kurudisha majeshi kambini lakini kulikuwa na ukosefu wa imani kati yetu. Mimi baadae 2009 nikakutana na mwanamke mwingine nikaanzisha mahusiano na kufunga ndoa 2011. Kipindi hicho sina mawasiliano na ex wangu kimapenzi ila mazoea tu ya hapa na pale, nakumbuka nilimpa na mchongo mmoja akaenda UK kupitia programu moja hivi. Hivyo tulikuwa tu marafiki maana mimi tayari nilikwisha oa.

Yeye hajawa na mahusiano mazuri kama wengine so mara kwa mara amekuwa akinishirikisha mengi yanayotokea kwenye mahusiano yake. Mara ya kwanza alinishirikisha mkasa wake na aliyekuwa mchumba wake. Huyo kaka ni kwamba walipendana sana mchaga ila changamoto jamaa alikuwa na uraibu wa kujichua, huu uraibu ulimpelekea kukosa ufanisi kunako 6*6, jambo ambalo lilimsumbua ex wangu sana. Kwamba kuna wakati wangeweza kujiandaa kwa ligi hata masaa ila ikifika hatua ya nyoka kuzama pangoni, anasinyaa. Kwa mujibu wa maelezo yake, ile hali ilikuwa inamuumiza mwanaume zaidi mpaka anaishia kulia ila ndo hivyo. Cha kushangaza ni kwamba mwanaume alikuwa na uwezo wa kujichua mwenyewe fasta na kufikia kileleni ila ngono ndo hivyo.

Ikafika wakati ikabidi waachane. Baadae akakutana na jamaa mmoja alitokea sijui Marekani mtoto wakishua, huyu wakakutana jamaa akampanga sana, huyu ex wangu ni mtu wa kanisani sana sasa kwa msimamo akataka washiriki tendo baada ya kufunga ndoa. Maandalizi yakafanyika baada ya kuchunguzana kipindi cha uchumba ila baadae akaanza kuona dalili ambazo hakuzielewa kama vile mume kutokuwa na hisia za kimapenzi naye. Akanishirikisha, nikamshauri aendelee kujenga mahusiano yake kwa kumuelewa mwenzake. Kumbe alianza kumchunguza kwa undani zaidi, akagundua jamaa ana movements ambazo hazielewi, hususani mahusiano yake na wanaume wengine. Siku moja akagundua mumewe ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume wengine, mume anapigwa miti.

Mke akaghafirika, ugomvi ukaanza ndani ya ngumba, haukusuluhishwa mpaka sasa, leo amenipigia simu kunifahamisha ni mwaka sasa toka ameondoka kwenye ile ndoa, anaishi peke yake, ana kazi nzuri inamlipa hivyo ameamua kuvunja ndoa na amewashirikisha wachungaji waliomuelewa na kusign nyaraka za kuruhusu ndoa kuvunjwa kwa misingi ya kwamba mume ni shoga, hii ndoa imedumu miaka kama 5 sasa.

Kwa upande wangu ndoa yangu ya kwanza ilivunjika muda sana na kwa sasa nina maisha mengine kabisa, wake zaidi ya mmoja na huyu ex wangu anafahamu hilo sema sasa mchana huu ananiambia anataka turudiane, niachane na wake zangu wote nimchukue yeye tu.

Hapa ndo nimeshindwa kumuelewa, nimemuambia kwa sasa hana jeuri ya kunipa masharti maana yeye ndo anatafuta tulizo mimi nipo sawa tu na wake zangu. Niweke wazi, nilichopewa na Mungu simuachii shetani, ni yeye tu kukubali kuunga tela hapo mume anaye. Ila masharti ya yeye kuwa peke yake siwezani nayo.

Hebu waangwana mnisaidie maoni.

Uzi tayari.
Kwa kuwa umeshatoa msiamamo kwamba aunge tela, muachie afanye uamuzi kama ataweza au hataweza, cha msingi wewe huna cha kupoteza

Life is about choices
 
Mimi kwa kweli sina cha kupoteza na nimempa utaratibu.
 
Nipe mimi huyo acha uroho nfugu yangu
 
HomeWASEMAVYO WATUMISHI.....SIRI YA WOKOVU!MATENDO MAKUU YA MUNGULIVING SCRIPTURES (Hebrews 4:12)UWANJA WA WANAFUNZITANZANIA NA INJILIMASHUJAA WA INJILIBIBLIA INA MAJIBU YOTEContacts/Mawasiliano
Wednesday, 8 January 2020
USAFI KATIKA NDOA YA KIKRISTO

NDOA INAHITAJI USAFI WA ROHO NA MWILI

Uchafu ni kitu cha kuchukiza sana. Hakuna mtu yeyote anayeweza kuchukuliana na mazingira machafu labda awe hana akili. Usafi ni asili ya Mungu, Mungu hachangamani na uchafu wa aina yoyote. Usafi wa kiroho kwa lugha nyingine ni utakatifu. Mungu wetu ni Mtakatifu, chochote kinachotokana naye ni kitakatifu. Yeye alikusudia kila alichokifanya kidumu katika utakatifu.

Ndiyo maana akakamilisha kazi yake yote ya uumbaji katika utakatifu (dhambi ilikuwa haijaingia duniani). Ndoa ya kwanza ilifungwa na Mungu mwenyewe, na ilifanyika katika usafi wote (Adamu na Eva walikuwa safi walipounganishwa na Mungu) na Mungu akawaagiza waendelee kudumu katika usafi na kuepuka kula atunda ya mti wa mema na mabaya.

Usafi (wa rohoni na mwilini) ni nguzo ya ndoa. Ikiwa wanandoa hawajasimama katika huo, hakuna uwezekano wa kufika mbali. Uchafu husababisha maradhi, harufu mbaya, na kudharauliwa. Heshima ya ndoa inategemea jinsi ambavyo wanandoa watadumu katika usafi. Uchafu wa rohoni hudhihirika kwenye matendo, maneno na mawazo; uchafu wa mwilini hudhihirika kwenye mwili, malazi, mavazi na kwenye mazingira (ndani ya nyumba na nje). Mtu anaweza kuwa na:
1. Midomo michafu.
Hii ni ile hali ya kutoa maneno machafu ambayo husababishwa na yale yalioyoko moyoni. Isaya aliuona uchafu huu alipomwambia Mungu “mimi ni mtu mwenye midomo michafu, nami ninakaa kati ya watu wenye midomo michafu” (Isaya 6:5). Bila shaka utaelewa kwamba midomo michafu hapa haimaanishi midomo ambayo haijasafishwa (hajapiga mswaki); maana yake ni kule kuwa na maneno machafu, kunena mabaya (uovu, masengenyeo, matusi na mengine). Ili ndoa isimame inahitaji maneno mazuri yenye kujenga, maneno ya kutia moyo, maneno matamu, maneno ya staha, maneno yaliyojaa neema ya Mungu. Ndoa nyingi zimeharibika kwa sababu ya midomo michafu.
Ukikuta mke ni mtukanaji, au ni msengenyaji au ni mgomvi asubuhi, mchana na jioni, ujue hakuna ndoa hapo. Hata kama ataishi na mume, yatakuwa maisha ya taabu sana. Mithali inasema “Ni afadhali kukaa katika nchi ya nyika; Kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi. (Mithali 21:19) Unaona, nchi ya nyika ni mahali pa shida (hapana maji, jua kali, hapana chakula) ila mateso yake hayafikii mateso ya kukaa ndani na mwanamke mgomvi na mchokozi. Je, mdomo wako unautumiaje? Kusudi la Mungu ni kwamba wanandoa watiane moyo, wajadili mambo yao kwa upendo, wapeane maneno yenye kujenga. Siyo kutukanana, kuitana majina ya wanyama, kugombana, na kuchokozana.
Mwanaume anayeutumia mdomo wake kama silaha ya kumpiga mke wake naye haijengi ndoa yake. Mwanaume ni mshauri wa familia, ni mwalimu, ni baba, ni kiongozi na ni mlinzi wa mke na watoto. Maneno ya ukali na matusi au ugomvi, hurarua mioyo ya watoto na mke. Ni muhimu mwanaume kujifunza Kwa Mungu, Baba. Yeye ni Mungu wa Upendo, hata wanawe tukikosea huturidi (hutuadhibu) kwa upendo. Kila wakati anatuwazia yaliyo mema, hajawahi kuwaza kutuumiza au kutuangamiza. Hata tukimkosea atakasirika lakini tukishuka na kumwomba msamaha yeye hutusamehe.
Hivyo ni muhimu tukahakikisha midomo yetu ni misafi, yaani tunaongea maneno mema siku zote. Paulo anasema “Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolea munyu, mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.” (Wakolosai 4:6) Mke akijua jinsi ya kumjibu mumewe na mume akajua jinsi ya kuongea na mkewe na wote wakaungana kuongea na Mungu maisha yatakuwa mazuri sana. Hata mwenzi wako akikosea, ongea naye kwa maneno ya kujenga. Maneno yana uwezo wa kubomoa kabisa mahusiano, kumbuka Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake. (Mithali 18:21). Maneno yanaweza kuua au kuhuisha ndoa yako, Mwombe Mungu akitakase kinywa chako kama ukiona kina shida.
2. Moyo uliojaa uchafu.
Maandiko yanasema, “Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wivi, ushuhuda wa uongo, na matukano” (Mathayo 15:19). Moyoni mwa mtu ndimo mlimo hisia, mawazo, na maamuzi, hivyo ili maisha ya mtu yawe salama ni lazima moyo uwe salama. Kwenye mithali tunasoma, “Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. (Mithali 4:23. Moyo uliochafuka ni makao ya shetani, kila aina ya uharibifu utatoka ndani yake. Kama mwanadoa mmoja wapo ataacha moyo wake wazi na shetani akaujaza uchaffu wake (chuki, husuda, matukano, uzinzi, uasherati, uongo na mengine) ndoa haitaweza kusimama.
Upendo wa kweli huletwa na Roho Mtakatifu ndani ya mtu, hivyo kama moyo ni mchafu Roho Mtakatifu hawezi kukaa na upendo wa kweli hauna nafasi. Suluhisho ni kurudi msalabani na kumtwika Yesu mizigo ili kupata raha moyoni (nafsini) – Mathayo 11:28. Moyo wa mtu hujazwa kwa vile anavyovisikia, anavyovisoma na kuviona.
Je, huwa unasoma nini? Huwa unasikiliza nini? Huwa unatazama nini kwenye runinga au ‘smartphone’ au kipakatilishi chako? Moyo wako ndio uliobeba ndoa yako, na ukilemewa na uchafu hakika utaiharibu ndoa. Dhambi ilipowalemea Adamu na Eva, walianza kulaumiana mbele za Mungu. Linda moyo wako, linda ndoa yako.
Dunia hufanya kazi katika mfumo hatari ambao hauwezi kutusaidia kudumu katika mahusiano. Kimsingi, dunia huhamasisha ubinfsi, chuki, kiburi na tamaa ambavyo ni hatari sana kwa ndoa. Yohana anasema, “Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia. (1Yohana 2:16). Mambo haya yaani “taama ya mwili, tama, na kiburi” kazi yake ni kuvuta uharibifu na kututenga na Mungu.
Uasherati ni uchafu mbaya, unaua roho na kuharibu mwili; ni lazima kujiepusha nao kama kijana unayempenda Mungu. Mabinti wanaojua thamani ya ubinti wao na vijana wanaojitambua hujilinda kabisa na uchafu huu. Ndoa nyingi zimevurugika kwa sababu ya uasherati ambao wanandoa waliufanya kabla ya ndoa. Wengine katika uasherati wao wakapata watoto ambao wamekuwa chanzo cha vurugu na chuki katika ndoa. Uchafu wa uasherati huchochea uzinzi katika ndoa, japo si mara zote. Ila mara nyingi watu ambao hawakuwa waaminifu kabla ya ndoa hushindwa kuwa waaminifu kwenye ndoa.
Usifanye tendo la ndoa kabla ya ndoa, na baada ya ndoa baki na mume wako kama Mungu alivyoamuru; ndoa yako haitatikisika.
Ni muhimu sana wanandoa wakadumisha usafi mioyo yao, na wasijichafue kabisa kwa uzinzi au picha za ngono. Kuaminiana huletwwa na usafi. Kila mmoja akikubali na kuamua kwa moyo wa dhati kumtii Mungu na kuwa wasafi na waaminifu kwa ndoa yake, maisha ya ndoa yatakuwa ya Baraka sana. Usafi ni msingi wa muhimu sana katika ndoa.
3. Mikono (michafu) iliyojaa damu.
Unaitumiaje mikono yako? Wengine wameitumia kuwapiga wenzi wao. Wengine wameitumia kubeba vitu ambavyo ni hatarishi kwa wenzi wao. Je, mikono yako ni salama? Mungu ametupa mikono ili kwamba tuweze kujipatia kipato kwayo, tena tuitumie kuwasaidia wengine sio kuwaumiza. Mume au mke ambaye mikono yake ni myepesi kuleta madhara hawezi kuishi na ndoa yake kwa usalama. Mtume Yakobo akasema, “Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili.” Hapa anazunggumza juu ya kuitakasa mikono na mioyo ili kuweza kuwa karibu na Mungu. Usafi huu ni wa muhimu sana.
4. Mwili na mavazi.
Usafi wa mwili na mavazi una uzito sana kwenye mahusiano. Tuliyoyaona hapo juu ni mambo ya rohoni, hivyo matokeo yake huja taratibu na ni ya ndani. Swala la mwili na mavazi ni la wazi na halifichiki. Watu wengi wamevuruga mahusiano yao ya ndoa kwa sababu ya uchafu. Baadhi ya maeneo ya kutilia mkazo zaidi ni:

  • Nguo za ndani yani brazia, chupi, boksa, soksi, vesti n.k. hakuna kitu chenye kero kama harufu mbaya. Na kwenye ndoa ule ukaribu wa wanandoa huweza kuathirika sana kama kutakuwa na harufu mbaya inayotoka kwa mmoja wapo. Kukimbiana na kutokufurahiana huanzia hapo, mwisho michepuko hubisha hodi. Usafi wa mavazi ni kivutio kikubwa sana kwa mwenzi wako, usikubali kuwa mchafu bila sababu za msingi.
  • Mwili: Sehemu za siri, kinywa, kwapa nk; Haya nayo yamevuruga ndoa nyingi. Mume au mke ni mtu wa karibu sana na mara nyingi meneo haya kwake ni ya msingi, hasa kwenye eneo la tendo la ndoa. Hivyo yakiwa machafu yanamsababisha anapata haaki yake kwwa mateso badala ya furaha. Mwisho anaweza kupoteza kiu kabisa au akafanya kama wajibu tu bila kuonyeha furaha na kuridhika. Hii ni hatari kwa ndoa.

5. Mazingira ya ndani na nje.
Haya nayo yana umuhimu wake, kimsingi nyumba yenye mandhari masafi ni bustani yenye kuvutia kwa wanandoa. Usafi huleta unadhifu na hamasa kwa wanandoa wenyewe na wageni. Maeneo ya msingi ya kuangalia kwenye eneo la usafi wa ndani na nje ni:

  • Usafi wa nyumba na mpangilio wake. Nyumba ikisafishwa na kupangiliwa vizuri huwavutia sana wanaume, wanawake nao hufurahia kuona wanakaa na waume zao nyumbani ili kujenga ndoa. Usafi na mpangilio mzuri wa nyumba ndiyo siri ya mafanikio katika hili.
  • Chumba na malazi; Chumba cha wanandoa ni cha muhimu sana, yaani ni mahali ambapo wanashikiana katika tendo la ndoa. Hivyo ni mahali wanapafurahia kuliko pahali pengine pote. Ni bustani ya amani na furaha kwa wandoa.

Usafi wa chumbani ni wa msingi sana. Na hili linawahusu wanandoa wote japo mke ndiye msimamizi mkuu wa jukumu hili. Mashuka yafuliwe kwa wakati, chumba kisafishwe, neti ifuliwe, vitu vipangiliwe vizuri, pawepo na kapafyumu kazuri, yaani mambo yatakuwa mazuri sana. Mke usikubali mumeo atamani kukaa chini ya miti kwa sababu chumbani hapakaliki. Jitahidi kwa uwezo ulionao ufanye usafi.

  • Maandalizi ya chakula na vyombo: Chakula kilichoandaliwa katika mazingira safi na kutengwa kweye vyombo visafi, ni kivutio kikubwa. Hata hamu ya kula huja ghafla kwa ule usafi tu. Ndoa inaguswa na eneo hili pia, ili mume au mke ale na afurahie chakula usafi unahitajika.
  • Chooni na bafuni na Mazingira ya nje, nayo pia yanahitaji usafi ili kuifanya nyumba iwe ya kuvutia zaidi. Watoto hujifunza sana kwa wazazi, hivyo usafi ukitiliwa mkazo utawajengea watoto tabia njema na utajenga sifa njema kwa ndoa.

Kumbuka uchafu wa aina yoyote ile huleta dharau, hakuna mwanandoa yeyote anayependa kudharauliwa kwa sababu ya mwenzake. Mume hupenda kusifiwa kwa sababu ya mkw wake na mke vivyo hivyo. Kiujumla, usafi ni msingi wa muhimu sana kwa wanandoa. Ona mstari huu unavyosema “Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.” Waebrania 13:4. Katika mafundisho ya Paulo kwa Timotheo, Paulo alikazia sana kuhusu usafi pia (1Timotheo 4:12), hivyo usafi ni lazima utiliwe mkazo kwa vijana, ili wakafanye vizuri kwenye ndoa zao pia.
 
Uongo huooo
 
Mimi Bibilia sisomi na sitaki kusikia huu upuuzi wa kutawaliwa akili na mtu.
 
Muoe akikubali kuwa na wenzake, ila usiwaache wengine kwani hawana kosa.

Tatizo kama nilivyosema eti anataka niwatimue watangizi wake nimchukue yeye.

Nimemtolea nje mazima maana kanikwaza. Yeye ndo mwenye shida alafu anajifanya kunipa masharti ya kijinga
 
Sikiliza moyo wako maana hayo ni maisha yako.

Mkuu moyo ilishahama kitambo nikapona majeraha, kwa sasa akija ni kuongeza tu idadi ya matobo ila siyo mapenzi
 
Back
Top Bottom