Mpesa MasterCard Tanzania: Kama unapenda uhakika wa malipo yako mtandaoni USIITUMIE

Hilo sio linufaika wala nini. Hilo ni lijinga limoja tu
 
Hili li YEHODAYA unadhani linaweza kuelewa hivi vitu???

Asubuhi asubuhi unakutana na watu wanaongelea issue sensitive halafu linatokea jitu moja kutetea upumbavu linaharibu siku yote
 
Wahusishe na TCRA.

Binafsi sasa ni wiki ya pili niliomba mkopo wa 10,000/- mpawa, wakanitumia sms kuwa mkopo umekamilika ila fedha hawakunitumia, nimewapigia kama mara 3, kuwaambia wa-cancel huo mkopo maana umeshakuwa irrelevant wananiambia kuna tatizo la mtandao wanalishughulikia, wiki 2 tatizo halijaisha sasa nawasubiri siku wanipigie simu kudai hela yao, huyo mtu siku yake lazima iharibike siku hiyo atakaponipigia.
 

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]


Tobi atakuwa ni mjumbe
 
Hili li YEHODAYA unadhani linaweza kuelewa hivi vitu???

Asubuhi asubuhi unakutana na watu wanaongelea issue sensitive halafu linatokea jitu moja kutetea upumbavu linaharibu siku yote

Bro huyo member anazingua kweli, sometimes unaweza dhani ni robot nini yaani hata hayo matatizo ya customer care hajayaona pia
 
Wewe ni mtetezi wa waovu:

CCM utetete wewe

Vodacom uwatetee wewe

Utakuwa na undugu na shetani sio bure. Ina maana mwezi mzima kwanini Vodacom wasimpe jibu la kueleweka?

Acha kutetea UPUMBAVU!.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa taarifa. Nafunga a/c yangu ya Vodacom MasterCard mara moja.
 
Mkuu....

Niliforward ishu yako kwa mtu wa ndani huko MPESA. Ameniambia imekuwa sorted.

Unaonaje uka update uzi kama ndivyo?
 
Acha kumtisha mteja

Vodacom ni kampuni kubwa sana na zuri

Shida kubwa ipo kwenu wafanyakazi mnaichafua sana kampuni zuri yetu ya vodacom

Ninashauri uongozi wa vodacom niwaombe sana hili ndugu zangu

Fanyieni kazi malalamiko ya wateja wenu ni muhimu sana hakuna anayekataa kuwa vodacom sio bora ila changamoto zipo katika kazi zifanyieni kazi haraka na kusema samahani nikitendo kikubwa sana cha Imani kwa wateja wenu

Pili ninashauri hivi....badilisheni uongozi wa vitengo hivi vya customer care na IT

Mimi binafsi mkinipa kitengo cha kusimamia malalamiko kwa wateja wenu nina uwakika ndani ya miezi sita hamtasikia malalamiko kutoka kwa wateja wenu

Shida kubwa hakuna NIDHAMU kwa watumishi wenu kbsa kbsa

Vodacom kumbukeni NOKIA Motorola Siemens hawakubadilika kutokana na Muda leo wamepitwa wamebaki wasindikizaji katika mchezo wao wa simu
 
Mateso niliyoyapata toka mpesa MasterCard... Natamani hata nisiyaone mabango ya voda mtaani.

Voda wamekata laki 5 yangu afu wananipa niongee na robot? Daaah
 
mimi tangu nipate message ya kunijulisha malipo ya shilingi 85,000/= hayajakamilika kwa sababu ya kutokuwa na salio la kutosha kwenye m-pesa master card...wakati sijanunua kitu chochote wala sijabofya popote pale nikaona hapa usalama wa pesa zangu ni sawa na 0% yaani bahati siku ile sikuwa na pesa yoyote kwenye account nikaifutilia mbali hiyo huduma...
 
Samahanini nauliza, hiv naweza nikafungua mpesa mastercard afu nikawa naitumia kufanya online purchase especially kwenye mambo ya non-physical services, kama kupurchase app fulan au kupata some other services of the same kind kama kulipia foreign number au kulipia VPN?
 
Vipi hako kalaini ulipokatafuna kalikuwa katamu au kachungu?
 
Umeanza kwa kumpa shombo jamaa, afu mwishoni nawe unaomba msaada kujua ni software gani alitaka kununua, kwani na wewe unataka kupigwa? Si umesema kaibiwa na hao wenye website au?
 
Pole sana, msaada wao hua unakuaga mdogo sana ni kama hawajli...
 

Dah, jamaa anaelezea alivyopigwa na hiyo Mpesa Mastercard na ww nawe unataka kujiunga huko huko
Kweli commonsense is not common
 
Kwa sasa Mpesa Mastercard haipo, huduma imefutwa na imeletwa mpya ya Mpesa VISA. Kuhusu kufanya online payment inawezekana kabisa kwa bidhaa zote, tangible na non-tangible (digital). Nimekwisha fanya miamala mara kadhaa bila longolongo, fungua tu hiyo Mpesa VISA ufanye manunuzi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…