luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Mkongwe wa Muziki na mpiga gitaa la rythm Denis Lokassa Kasiya almaarufu Lokasa ya M'bongo amefariki siku ya Jumanne nchini Marekani alipougua kwa muda mrefu ugonjwa wa Kisukari.
Akiwa amefariki na umri wa miaka 80, Lokassa atakumbukwa kwa nyimbo kadhaa alizotunga, kucheza gitaa kama vile Marie-José, Assitou, Bonne Année, Monica.
Lokassa alikuwa kiongozi wa Bendi ya Soukous Stars.