luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Hii habari ingeambatana na kipande kimoja cha burudani yake matataMkongwe WA Muziki na mpiga gitaa lá rythm Lokasa ya M'bongo amefariki Siku ya jumanne nchini marekani alipougua kwa muda mrefu ugonjwa wa kisukari...
SawaHii habari ingeambatana na kipande kimoja cha burudani yake matata
ChaiMwaka 1968 nilikutana Kinshasa, nilijua tu atakuja kuwa STAR
AiseeMwaka 1968 nilikutana Kinshasa, nilijua tu atakuja kuwa STAR
Yah kolabo yake ilikuwa Sam mangwanaLoookasaaa yaaa mbooooongo" walikuwa wanavuta hivo jina lake
SanaaJamaa alikua anajua sana