Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha maneno yako hayo, hakuna sehemu ya mtu binafsi duniani iliyo na haki ya kutoruhusiwa picha, ni sehemu za serikali ambazo zina maslahi kwa taifa hasa upande wa usalama ndizo zisizoruhusiwa kupigwa picha, na huwa kunawekwa alama au maandishi yanayoonyesha katazo hilo.Ndio ni kosa kupiga picha shamba au uwanja bila idhini ya mmiliki tena wanaweka na mabango kabsa
Huyo mjapani kesi anayo yakujibu