Mpiga picha akamatwa Kenya akipiga picha shamba la Rais Kenyatta .

Mpiga picha akamatwa Kenya akipiga picha shamba la Rais Kenyatta .

Walijidai katiba yao nzuri kumbe hata kupiga shamba na nembo ya biashara ya Mali za mafisadi ni kosa
 
Ndio ni kosa kupiga picha shamba au uwanja bila idhini ya mmiliki tena wanaweka na mabango kabsa
Huyo mjapani kesi anayo yakujibu
Acha maneno yako hayo, hakuna sehemu ya mtu binafsi duniani iliyo na haki ya kutoruhusiwa picha, ni sehemu za serikali ambazo zina maslahi kwa taifa hasa upande wa usalama ndizo zisizoruhusiwa kupigwa picha, na huwa kunawekwa alama au maandishi yanayoonyesha katazo hilo.
 
Back
Top Bottom