Acha maneno yako hayo, hakuna sehemu ya mtu binafsi duniani iliyo na haki ya kutoruhusiwa picha, ni sehemu za serikali ambazo zina maslahi kwa taifa hasa upande wa usalama ndizo zisizoruhusiwa kupigwa picha, na huwa kunawekwa alama au maandishi yanayoonyesha katazo hilo.