Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
We umejitahidi unawajua wengi mi namjua JPM,Majaliwa na Mama Suruhu basiNi nani na nani hao?
Mie namjua JPM, Samia, Kasimu, na Lugola tu wengine huwa siwajuagi atiiiiiii!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We umejitahidi unawajua wengi mi namjua JPM,Majaliwa na Mama Suruhu basiNi nani na nani hao?
Mie namjua JPM, Samia, Kasimu, na Lugola tu wengine huwa siwajuagi atiiiiiii!!!!
hahaahhaha mkuu acha basi kuandika kiyunani.gairo nirikua nafanya kazi dunka moja pare rinaitwa nike
Kwayiyo ndio kakufundisha uwandike utumbo jeyiyefu [emoji4] [emoji4]Mwarimu wagu arikuwa rozimeli maiko
😀😀😀😀😀😀😀😀Mkuu unaeza kutuvumiria ata mara moja sisi wa nyanda za juu kusinMwl wako wa la kwanza anatafutwa na serikali
Hujawahi kupata hasara kweli?gairo nirikua nafanya kazi dunka moja pare rinaitwa nike