Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Mkuu yani siamini yaliyonikuta alaf Ukizingatia Kaz ndo naanza wiki ya pili Sasa dah..Mfanyie photobomb kila akipiga picha
Pia usiondoke baki, na wewe chukua mic jitangaze kwa mbwembwe
Photo bomb ndo nini?Mfanyie photobomb kila akipiga picha
Pia usiondoke baki, na wewe chukua mic jitangaze kwa mbwembwe
sasa wewe unaingia kwenye shuhuli ya watu bila kufuata utaratibu, inawezekana huyo kakodiwa kwa ajili ya tukio zimaMkuu yani siamini yaliyonikuta alaf Ukizingatia Kaz ndo naanza wiki ya pili Sasa dah..
Apana mkuu wote sisi ni wageni iki kijiji Jirani tu sio kwetu wotesasa wewe unaingia kwenye shuhuli ya watu bila kufuata utaratibu, inawezekana huyo kakodiwa kwa ajili ya tukio zima
Hatari mkuuHahaha ukaamue bora ulete uzi humu.pambana mtoto wa kiume rizki haiji kizembe kaza pumbu hizo ukamtie hela hapo mjini hapa.
Watu tunakatazwa na serikali lakini bado tunapiga mishe zetu kama kawa.
Mkuu mimi ngumi sija jaliwaMpige ngumi
Mkuu si itakua competition hii?Tangaza nawe ni mpiga picha wa picha za Facebook, instagram na Whatsup...
hapo lazima awe Mdogo tu
Mkuu nimeshindwa Kwa hiliSasa we mzee wa kusawazisha unashindwa nini kusawazisha na hilo acha uzembe aseee
AiseeFanya juu chini umchanganyie chakula chake na dawa ya kufungua tumbo, Muda wote atakua yupo chooni kama Nzi. Akapige picha mende na Nzi.
Hakuna ushauri mzuri kama huo huwezi kuupata popote pale.Aisee
Hahahhahahahaaha watu wabaya ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Fanya juu chini umchanganyie chakula chake na dawa ya kufungua tumbo, Muda wote atakua yupo chooni kama Nzi. Akapige picha mende na Nzi.
SawaHakuna ushauri mzuri kama huo huwezi kuupata popote pale.