Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Hakuna njia ya haraka na ya uhakika kuzidi hiyo.Hahahhahahahaaha watu wabaya ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna njia ya haraka na ya uhakika kuzidi hiyo.Hahahhahahahaaha watu wabaya ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni wapi apo nije fastaMkuu mimi ngumi sija jaliwa
Mkuu si itakua competition hii?
Ataondoka vipi mkuu na yeye si atakua kajiandaa?tumia hiyo mbinu...ataondoka/atanywea
unaogoga ushindani,halafu unakuja kulilia ushauri JF!!?
wake up,eat or get beaten!!
ThanksGet rich ot die trying
Kivipi mkuuPigana na sokulia lia
Salamu wakuu kwanza
Bila kupoteza mda Leo nimeamkia kwenye kutafuta riziki nimekuja kwenye sherehe ya ndoa hapa nikasema nipige pesa Leo Kwa Sana cha ajab sherehe inaanza tu.. Jamaa kachukua microphone na kutangaza mpiga picha hapa ni mimi tu.. Nashindwa Ata kumalizia.. Naombeni ushauri.. Nitoke au nibaki?
Mambo ya riziki mkuukama hujaalikwa umevamia nadhani unatakiwa uondoke tu. binafsi hata mimi kwenye sherehe yangu nitahitaji mpiga picha mmoja tu wengine waje walipie kwangu. huwezi vamia sherehe ya watu na kuanza kupiga picha si jambo zuri. na nyie ndo huw amnatupiga picha halafu mnatandaza chini tukanyagwe. siyo wewe mmoja wapo? ole wako sasa siku unipige picha kama hujanilipa kwa picha yangu.
Uswahilini uku mkuu shida Sana aiseeHuyo amekutishia tu we endelea kupiga picha zako