Mpiga picha mwenzangu analetea kiwingu kwenye sherehe apa naombeni ushauri

na wewe piga picha zako alafu punguza bei kidogo mteja atakuchagua wewe
 
Huyo amekutishia tu we endelea kupiga picha zako
 
kama hujaalikwa umevamia nadhani unatakiwa uondoke tu. binafsi hata mimi kwenye sherehe yangu nitahitaji mpiga picha mmoja tu wengine waje walipie kwangu. huwezi vamia sherehe ya watu na kuanza kupiga picha si jambo zuri. na nyie ndo huw amnatupiga picha halafu mnatandaza chini tukanyagwe. siyo wewe mmoja wapo? ole wako sasa siku unipige picha kama hujanilipa kwa picha yangu.
Salamu wakuu kwanza

Bila kupoteza mda Leo nimeamkia kwenye kutafuta riziki nimekuja kwenye sherehe ya ndoa hapa nikasema nipige pesa Leo Kwa Sana cha ajab sherehe inaanza tu.. Jamaa kachukua microphone na kutangaza mpiga picha hapa ni mimi tu.. Nashindwa Ata kumalizia.. Naombeni ushauri.. Nitoke au nibaki?
 
kama hujaalikwa umevamia nadhani unatakiwa uondoke tu. binafsi hata mimi kwenye sherehe yangu nitahitaji mpiga picha mmoja tu wengine waje walipie kwangu. huwezi vamia sherehe ya watu na kuanza kupiga picha si jambo zuri. na nyie ndo huw amnatupiga picha halafu mnatandaza chini tukanyagwe. siyo wewe mmoja wapo? ole wako sasa siku unipige picha kama hujanilipa kwa picha yangu.
Mambo ya riziki mkuu
 
Back
Top Bottom