Mpiga picha mwenzangu analetea kiwingu kwenye sherehe apa naombeni ushauri

Mpiga picha mwenzangu analetea kiwingu kwenye sherehe apa naombeni ushauri

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,172
Salamu wakuu kwanza

Bila kupoteza mda Leo nimeamkia kwenye kutafuta riziki nimekuja kwenye sherehe ya ndoa hapa nikasema nipige pesa Leo Kwa Sana cha ajab sherehe inaanza tu.. Jamaa kachukua microphone na kutangaza mpiga picha hapa ni mimi tu.. Nashindwa Ata kumalizia.. Naombeni ushauri.. Nitoke au nibaki?
 
Mfanyie photobomb kila akipiga picha
Pia usiondoke baki, na wewe chukua mic jitangaze kwa mbwembwe
 
Hahaha ukaamue bora ulete uzi humu.pambana mtoto wa kiume rizki haiji kizembe kaza pumbu hizo ukamatie hela,mjini hapa.

Watu tunakatazwa na serikali lakini bado tunapiga mishe zetu kama kawa.
 
Hahaha ukaamue bora ulete uzi humu.pambana mtoto wa kiume rizki haiji kizembe kaza pumbu hizo ukamtie hela hapo mjini hapa.

Watu tunakatazwa na serikali lakini bado tunapiga mishe zetu kama kawa.
Hatari mkuu
 
Tangaza nawe ni mpiga picha wa picha za Facebook, instagram na Whatsup...

hapo lazima awe Mdogo tu
 
Sasa we mzee wa kusawazisha unashindwa nini kusawazisha na hilo acha uzembe aseee
 
Fanya juu chini umchanganyie chakula chake na dawa ya kufungua tumbo, Muda wote atakua yupo chooni kama Nzi. Akapige picha mende na Nzi.
 
Fanya juu chini umchanganyie chakula chake na dawa ya kufungua tumbo, Muda wote atakua yupo chooni kama Nzi. Akapige picha mende na Nzi.
Hahahhahahahaaha watu wabaya ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom