Mpiga picha mwenzangu analetea kiwingu kwenye sherehe apa naombeni ushauri

na wewe piga picha zako alafu punguza bei kidogo mteja atakuchagua wewe
 
Huyo amekutishia tu we endelea kupiga picha zako
 
kama hujaalikwa umevamia nadhani unatakiwa uondoke tu. binafsi hata mimi kwenye sherehe yangu nitahitaji mpiga picha mmoja tu wengine waje walipie kwangu. huwezi vamia sherehe ya watu na kuanza kupiga picha si jambo zuri. na nyie ndo huw amnatupiga picha halafu mnatandaza chini tukanyagwe. siyo wewe mmoja wapo? ole wako sasa siku unipige picha kama hujanilipa kwa picha yangu.
 
Mambo ya riziki mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…