Bado anamuita Diamond "Boss" hata instagram page yake ina Bio ya official Diamond bodigadiMwarabu Fighter katemeshwa WCB?
Mwarabu Fighter katemeshwa WCB?
kuna kitu nimejiuliza sana,ina maana Lukamba sik zote hakuwa na gar licha ya kufanya kazi na mtu mkubwa Afrika? je ina maana yoyote kumzawadia gari jukwaani km tunavyozawadiwa wafanyakazi bora siku ya Mei Moko? kwa jinsi tukio la jana lilivyoteka umma Ali Kiba na kundi lake walikosea timming ya kurelease ngoma yake hadi imedoda huko youtube au alitaka public sympathy kwamba WCB wameaandaa tukio lile kumzima?😁🤕🙌habari wadau.
nimejifunza kitu kikubwa sana kwa diamond.. ambapo ni kuwa muajiri mzuri..
diamond japo hana elimu kubwa kama waajiri wengi.. ila anajua kuishi na wafanyakazi wake..
ndio maana hata walioacha kazi au kufukuzwa kazi.. bado wanampenda diamond na WCB kwa ujumla mfano kifesi, mwarabu fighter etc
imagine bosi wako anakupa bonus ya gari au hata baiskeli.. raha ya kujaliwa inavyokusukuma ujitume zaidi na zaidi
lukamba atoa machozi baada ya kupewa gari
Ndio maana nilimuona kwasasa anamlinda Irene Uwoya.amesimamishwa tu kwa utovu wa nidhamu.. ila atarudi baada ya 3 months..
Yuko vizuri sanaSi aliwahi pia kumpa gari mzee Mhidini Gurumo, eti ee?!
We Jamaa ndie msemaj Wa WCB?amesimamishwa tu kwa utovu wa nidhamu.. ila atarudi baada ya 3 months..
We Jamaa ndie msemaj Wa WCB?
Tena yule Mzeee alishukuru sana. Akasema pamoja na kukaa katika muzik kipindi chake chote ,hakuwahi kfanikiwa kupata usafirSi aliwahi pia kumpa gari mzee Mhidini Gurumo, eti ee?!
Hahahhahahahha sawa ,kumbe wote tunanukuu huko huko. Poa poa nduguni mshabiki tu.. nanukuu maneno yao wanayoyapost mitandaoni
Amini nakwambia mwarabu fighter ña diamond wana historia ndefu hawajajuana juzi hawa nawajua kitambo tu sema nikiongea humu wabongo hawachelewi kusema nataka kiki wakati hata mwarabu mwenyewe anajua kama sinaga tabia ya kujipendekeza nilimthibitishia hilo miaka mitatu iliyopita Arusha..mwenyewe anajuaNdio maana nilimuona kwasasa anamlinda Irene Uwoya.