The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Inaitwa kwa kihehe surprisekuna kitu nimejiuliza sana,ina maana Lukamba sik zote hakuwa na gar licha ya kufanya kazi na mtu mkubwa Afrika? je ina maana yoyote kumzawadia gari jukwaani km tunavyozawadiwa wafanyakazi bora siku ya Mei Moko? kwa jinsi tukio la jana lilivyoteka umma Ali Kiba na kundi lake walikosea timming ya kurelease ngoma yake hadi imedoda huko youtube au alitaka public sympathy kwamba WCB wameaandaa tukio lile kumzima?😁🤕🙌