Inaitwa kwa kihehe surprisekuna kitu nimejiuliza sana,ina maana Lukamba sik zote hakuwa na gar licha ya kufanya kazi na mtu mkubwa Afrika? je ina maana yoyote kumzawadia gari jukwaani km tunavyozawadiwa wafanyakazi bora siku ya Mei Moko? kwa jinsi tukio la jana lilivyoteka umma Ali Kiba na kundi lake walikosea timming ya kurelease ngoma yake hadi imedoda huko youtube au alitaka public sympathy kwamba WCB wameaandaa tukio lile kumzima?ππ€π
Mbona kama mwandiko wa kisandoAmini nakwambia mwarabu fighter Γ±a diamond wana historia ndefu hawajajuana juzi hawa nawajua kitambo tu sema nikiongea humu wabongo hawachelewi kusema nataka kiki wakati hata mwarabu mwenyewe anajua kama sinaga tabia ya kujipendekeza nilimthibitishia hilo miaka mitatu iliyopita Arusha..mwenyewe anajua
Siku zote najuaga wewe ni dumeIla lukamba mashallah, namtamani Yule kaka , sema tu ndo pesa Hana , apo tu Ndo pananifanya nimchukie, mambo ya kulala na wapiga picha warumi Mimi naanzaje
Siku zote najuaga wewe ni dume
Hana jinsia binamuSiku zote najuaga wewe ni dume
Ooh kumbe!Hana jinsia binamu
Bora angemzawadia nyumba, gari kamuongezea matumizihabari wadau.
nimejifunza kitu kikubwa sana kwa diamond.. ambapo ni kuwa muajiri mzuri..
diamond japo hana elimu kubwa kama waajiri wengi.. ila anajua kuishi na wafanyakazi wake..
ndio maana hata walioacha kazi au kufukuzwa kazi.. bado wanampenda diamond na WCB kwa ujumla mfano kifesi, mwarabu fighter etc
imagine bosi wako anakupa bonus ya gari au hata baiskeli.. raha ya kujaliwa inavyokusukuma ujitume zaidi na zaidi
lukamba atoa machozi baada ya kupewa gari
EeehOoh kumbe!
mwarabu alishaondoka WCB kabla ya ajali amefungua kampuni ya mabodigadi,huyo kifesi alitimuliwa kwa kukiuka miiko ya kaziMwarabu kadondoka na bajaj wakamzira, sa hii kwenye media stunt wanamsimamisha lukamba hata yule kifesi hajaambulia hata baskeli.
Huyu dogo awekeze saana kivyake akae sawa, hawa wapambe wanaompa akili za kilofa hizi hawa kina babutale na huyu bwege sallam sijui nani yule TMK asome vizuri sana.
Wako pale wanapiga chao kesho hao washatoka baru wanatafuta mwingine wampune.
aongeze bidii atapata tuBora angemzawadia nyumba, gari kamuongezea matumizi
mwarabu alishaondoka WCB kabla ya ajali amefungua kampuni ya mabodigadi,huyo kifesi alitimuliwa kwa kukiuka miiko ya kazi
Alikua anapeleka maneno kwa ZarinaSababu ya umbea
Lukamba ashaanza kushobokewa na Mademu Kibao na Altezza yake Nyeusi.Ila lukamba mashallah, namtamani Yule kaka , sema tu ndo pesa Hana , apo tu Ndo pananifanya nimchukie, mambo ya kulala na wapiga picha warumi Mimi naanzaje
Lukamba ashaanza kushobokewa na Mademu Kibao na Altezza yake Nyeusi.[/
Lukamba mzuri anaita, yani pale Hana pesa Ila mashalah, akiwa na pesa kama domo cjui itakuaje, mi mwenyew namtamani, lukamba handsome sio domo kakomaa uso mpka miguu