Seto
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 953
- 56
Wewe tuthibitishie hapa kwamba Askofu Kakobe "Anajiandaa" kuhamia Boston. Umejuaje? Na ni maandalizi gani anafanya ya kuhamia Boston? Na anapohamia huko Kanisa la Mwenge anamwachia nani? Kumbuka hili ni jukwaa la Great Thinkers na siyo Narrow Minded. Kwa hiyo tuthibitishie hapa. Otherwise, eidha una 'bifu' na Askofu Kakobe au unashabikia usiyoyajua. Kama hujui bora uulize
mbona hasira hivi yakhe,,, nawe ndo mmojawapo wa wale wanaohesabu zile sadaka nini?........