‘Mpiganaji‘ Bishop Kakobe

‘Mpiganaji‘ Bishop Kakobe

Wewe tuthibitishie hapa kwamba Askofu Kakobe "Anajiandaa" kuhamia Boston. Umejuaje? Na ni maandalizi gani anafanya ya kuhamia Boston? Na anapohamia huko Kanisa la Mwenge anamwachia nani? Kumbuka hili ni jukwaa la Great Thinkers na siyo Narrow Minded. Kwa hiyo tuthibitishie hapa. Otherwise, eidha una 'bifu' na Askofu Kakobe au unashabikia usiyoyajua. Kama hujui bora uulize

mbona hasira hivi yakhe,,, nawe ndo mmojawapo wa wale wanaohesabu zile sadaka nini?........
 
Bishop Z is God's Overseer of FGBF!!!! Huduma ambayo haina mzaha na masihara ya kucheza cheza na dunia kwa kigezo cha FASHENI!!! MABRAZAMEN na MASISTA DU hawapawezi pale, maana si sehemu ya kutafutia ma-boyfriend BALI NYUMBA YA IBADA
 
mbona hasira hivi yakhe,,, nawe ndo mmojawapo wa wale wanaohesabu zile sadaka nini?........
Kama ni hasira, basi, kwa kuwa najua ni uongo, ndiyo sababu naukasirikia uzushi wake huyo anayesema Askofu Kakobe anajiandaa kuhamia kwenye tawi lake Boston..... anadanganya watu, na wale wasiofanya utafiti ni rahisi kuamini kama walivyodanganywa kwamba Kakobe anatumia uchawi wa Nigeria wakaamini kwa miaka mingi. swala la kuhesabu sadaka hapo linaingiaje? Nawe kwa majibu yako pia unaonekana una tatizo! Una kijicho na sadaka za Kanisani kwa Kakobe! lol!
 
kama ni hasira, basi, kwa kuwa najua ni uongo, ndiyo sababu naukasirikia uzushi wake huyo anayesema askofu kakobe anajiandaa kuhamia kwenye tawi lake boston..... Anadanganya watu, na wale wasiofanya utafiti ni rahisi kuamini kama walivyodanganywa kwamba kakobe anatumia uchawi wa nigeria wakaamini kwa miaka mingi. Swala la kuhesabu sadaka hapo linaingiaje? Nawe kwa majibu yako pia unaonekana una tatizo! Una kijicho na sadaka za kanisani kwa kakobe! Lol!

ni swali tu msee mbona wang`aka hivyo......
 
Bongo kweli imelaaniwa mtu akitulia wanaanza maneno, akiongea wanaanza kumnyooshea vidole, nyie endeleeni kupiga kelele kwani hakuna asiyejua tabia za mtu aliyekosa jambo la kuzungumza.
 
Back
Top Bottom