Mpiganaji wa kidini ajilipua Somalia na kuua watu 11

Nilijua tu kuwa kuna watu watakuja kusema kuwa uislamu unaruhusu ayo mambo kitendo cha kujiuwa tu tayari yupo mbali na uislamu ni haramu kujitoa uhai kwenye uislamu someni uislamu vizuri msiwasikilize maadui wa uislanu ambao kazi yao ni kuupaka matope tu ivyo vikundi vya kigaidi kama umegundua wao ndio uvianzisha kwa ajili ya kazi yao maalum kwa akili ya kawaida tu angalieni karibia nchi zote zenye utajiri wa asili either gesi au mafuta lazima ivi vikundi viwepo mfano nigeria,msumbiji etc. lengo lao ni kuwa keep busy na vita ili wao wachukue ivyo vitu.
Wewe acha uongo wako na kutetea ugaidi. Somalia, Mali, Burkina Faso, Cameroon nk kuna nini cha maana sana.

Nyie mnapigana Jihad mkifikiri mnaweza kuiteka dunia na kusilimisha wote kama mlivyofanya wakati wa kueneza dini yenu lakini hii ni karne nyingine rafiki mtaishia kujilipua tu hivyo labda kwenda kuambulia hao mabikra lkn zaidi ya hapo hamna.

Huwezi ukaeneza imani kwa nguvu hasa katika dunia ya leo. Forget it my friend.
 
Huwa na shangaa sana jinsi hao jamaa wanavyojaribu kutetea hii hoja kwa visababu vya kipuuuzi.

Yani mtu ashawishiwe alipue ndugu zake ana apigane na watu wengine kwa kutimiza mahitaji ya ambao ni watu wasio wa jamii yake?

Mbaya zaidi wanapojiripua hulitaja jina la mungu wao..kudhihirisha anachokipigania ni imani yake.

Mbaya zaidi sio mtu mmoja haya matukio ni memgi sana natena sehemu mbalimbali dunia.

Damu ya Yesu iwaokoe hawa wapotevu..inasikitisha sana.

Mpende jirani yako kama nafsi yako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nilijua tu kuwa kuna watu watakuja kusema kuwa uislamu unaruhusu ayo mambo kitendo cha kujiuwa tu tayari yupo mbali na uislamu ni haramu kujitoa uhai kwenye uislamu someni uislamu vizuri msiwasikilize maadui wa uislanu ambao kazi yao ni kuupaka matope tu ivyo vikundi vya kigaidi kama umegundua wao ndio uvianzisha kwa ajili ya kazi yao maalum kwa akili ya kawaida tu angalieni karibia nchi zote zenye utajiri wa asili either gesi au mafuta lazima ivi vikundi viwepo mfano nigeria,msumbiji etc. lengo lao ni kuwa keep busy na vita ili wao wachukue ivyo vitu.
hakuna anayeichukia dini yako ila matendo yenu ya kujilipua hovyo ili kudai haki yanajieleza yenyewe.Osama aliua sana sikuona mahali OIC ilimfuta uislamu wala fatwa kuwekwa juu yake.Boko haram wanaua kila siku sioni fatwa juu ya kichwa cha kiongozi wao. Al shabab waliuwa watu 500 wanunuzi wa mitumba na bidhaa za sokoni huko somalia mwaka jana, kwa saa moja na OIC ilikaa kimyaaaa bila hata ya kulaani viongozi wa al shabab.sasa sisi tulio jukwaani tusishangae hii enabling waiafanyayo the Arab league?
 
Wewe acha uongo wako na kutetea ugaidi. Somalia, Mali, Burkina Faso, Cameroon nk kuna nini cha maana sana.

Nyie mnapigana Jihad mkifikiri mnaweza kuiteka dunia na kusilimisha wote kama mlivyofanya wakati wa kueneza dini yenu lakini hii ni karne nyingine rafiki mtaishia kujilipua tu hivyo labda kwenda kuambulia hao mabikra lkn zaidi ya hapo hamna.

Huwezi ukaeneza imani kwa nguvu hasa katika dunia ya leo. Forget it my friend.
umemjibu vema .
 
hakuna anayeichukia dini yako ila matendo yenu ya kujilipua hovyo ili kudai haki yanajieleza yenyewe.Osama aliua sana sikuona mahali OIC ilimfuta uislamu wala fatwa kuwekwa juu yake.Boko haram wanaua kila siku sioni fatwa juu ya kichwa cha kiongozi wao. Al shabab waliuwa watu 500 wanunuzi wa mitumba na bidhaa za sokoni huko somalia mwaka jana, kwa saa moja na OIC ilikaa kimyaaaa bila hata ya kulaani viongozi wa al shabab.sasa sisi tulio jukwaani tusishangae hii enabling waiafanyayo the Arab league?
Dohh mnachoshindwa kuelewa ni kitu kimoja kitu akifanya muislamu mmoja basi ndio mnachukulia Uislamu ndio uko ivyo nawakaribisha muusome uislamu vizuri then ndio mje mkosoe apa uislamu upo mbali na watu kama alshabab na wengine wanaotumia dini kama sehemu ya kufanyia mambo yao kwa manufaa ya watu wengine uko west NB: sheria za jihad kwenye uislamu aziruhusu kumpiga aliyekuwa nje ya uwanja wa vita,watoto na wanawake au wazee awaruhuisiwi kupigwa sijui umenielewa mpaka apo sasa chukua aya maneno yangu compare na vitu wanavyofanya awo uliowataja je vinaendana na aya niliyoyasema msipende kukosoa vitu bila kiwa na elimu navyo..mwenyezi mungu ndio mwenye kujua zaidi.
 
Dini watu wanajifunza kupitia matendo sio wote wana muda wa kusoma hivyo vitambu kwanza nani ana muda wa kujifunza kiarabu ndio aanze kusoma hivyo vitabu.

Kuhusu tabia za kujilipua na kuua watu historia inaonyesha ni wengi wanafanya hivyo sio huyo tu..makundi yenye mlengo huo yanaua watu kila uchwao..nani mwenye akili timamu atakaye amini kuwa hiyo imani niya amani na upendo..kama sio imani ya chuki na mauaji.

#MaendeleoHayanaChama
 
Jamaa kaamua kulipuka tu hamna namna...isiwe tabu..kimsingi afe nao

District Commissioner Abdillahi Ali Waafow was among those killed in Wednesday's attack, the secretary-general of the Marka town administration in the Lower Shabelle region, Mohamed Osmaan Yariisoow, told The Associated Press by phone.

"Minutes after we had concluded a meeting we had at the district headquarters and were on our way out, we found an unknown man approached us and blew himself up," Yariisoow said, adding that the commissioner's bodyguards, traditional elders and women also were killed.

The Somalia-based extremist group al-Shabab claimed responsibility for the attack. Marka is about 100 kilometers south of Somalia's capital, Mogadishu.

Witness Hassan Abdullahi confirmed to the AP by phone that 11 people including the district commissioner had been killed.

"I heard a huge blast. I ran toward the explosion scene. I have seen with my own eyes several bodies and remains of human flesh scattered on the ground," he said.
Suicide terrorism.
 
Dini watu wanajifunza kupitia matendo sio wote wana muda wa kusoma hivyo vitambu kwanza nani ana muda wa kujifunza kiarabu ndio aanze kusoma hivyo vitabu.

Kuhusu tabia za kujilipua na kuua watu historia inaonyesha ni wengi wanafanya hivyo sio huyo tu..makundi yenye mlengo huo yanaua watu kila uchwao..nani mwenye akili timamu atakaye amini kuwa hiyo imani niya amani na upendo..kama sio imani ya chuki na mauaji.

#MaendeleoHayanaChama
umekalilishwa kwaiyo makanisa yanayofungisha ndoa za jinsia moja je? ndio utasema ukristo unaruhusu ndoa za jinsia moja?
 
Lakini tumeona hata shehe Muhsin kule Afrika Kusini akifagilia ndoa ya jinsia moja pamoja na kwamba sio mkristo.

Biblia inatuambia siku za mwisho dhambi zitaongezeka na ndio tunayoona sasa na hii haina dini, rangi, jinsia wala kabila, huo ndio ukweli ambao lazima tukubali kwa sababu shetani 😈 hataki aje afe mwenyewe.
 
Hao Alshabab wanataka nini hasa??
 
Hao Alshabab wanataka nini hasa??
Islamic State.
Na wao ndio wawe viongozi wa Sharia Law.

Wawe ndio wakusanya kodi.

Wakristo walipe Jazya, kodi ya kuto kuwa Muislamu.

Kama kitabu chao cha dini cha qurani kinavyo waagiza.
 
Back
Top Bottom