mashinetata
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 391
- 896
[emoji16][emoji16][emoji16]Dini ya Hakhi, hapo anakwendazake kubembelezwa na mabikira 70 kwenye mito ya dhahabu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16]Dini ya Hakhi, hapo anakwendazake kubembelezwa na mabikira 70 kwenye mito ya dhahabu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji15]
Wewe acha uongo wako na kutetea ugaidi. Somalia, Mali, Burkina Faso, Cameroon nk kuna nini cha maana sana.Nilijua tu kuwa kuna watu watakuja kusema kuwa uislamu unaruhusu ayo mambo kitendo cha kujiuwa tu tayari yupo mbali na uislamu ni haramu kujitoa uhai kwenye uislamu someni uislamu vizuri msiwasikilize maadui wa uislanu ambao kazi yao ni kuupaka matope tu ivyo vikundi vya kigaidi kama umegundua wao ndio uvianzisha kwa ajili ya kazi yao maalum kwa akili ya kawaida tu angalieni karibia nchi zote zenye utajiri wa asili either gesi au mafuta lazima ivi vikundi viwepo mfano nigeria,msumbiji etc. lengo lao ni kuwa keep busy na vita ili wao wachukue ivyo vitu.
Huwa na shangaa sana jinsi hao jamaa wanavyojaribu kutetea hii hoja kwa visababu vya kipuuuzi.Wewe acha uongo wako na kutetea ugaidi. Somalia, Mali, Burkina Faso, Cameroon nk kuna nini cha maana sana.
Nyie mnapigana Jihad mkifikiri mnaweza kuiteka dunia na kusilimisha wote kama mlivyofanya wakati wa kueneza dini yenu lakini hii ni karne nyingine rafiki mtaishia kujilipua tu hivyo labda kwenda kuambulia hao mabikra lkn zaidi ya hapo hamna.
Huwezi ukaeneza imani kwa nguvu hasa katika dunia ya leo. Forget it my friend.
hakuna anayeichukia dini yako ila matendo yenu ya kujilipua hovyo ili kudai haki yanajieleza yenyewe.Osama aliua sana sikuona mahali OIC ilimfuta uislamu wala fatwa kuwekwa juu yake.Boko haram wanaua kila siku sioni fatwa juu ya kichwa cha kiongozi wao. Al shabab waliuwa watu 500 wanunuzi wa mitumba na bidhaa za sokoni huko somalia mwaka jana, kwa saa moja na OIC ilikaa kimyaaaa bila hata ya kulaani viongozi wa al shabab.sasa sisi tulio jukwaani tusishangae hii enabling waiafanyayo the Arab league?Nilijua tu kuwa kuna watu watakuja kusema kuwa uislamu unaruhusu ayo mambo kitendo cha kujiuwa tu tayari yupo mbali na uislamu ni haramu kujitoa uhai kwenye uislamu someni uislamu vizuri msiwasikilize maadui wa uislanu ambao kazi yao ni kuupaka matope tu ivyo vikundi vya kigaidi kama umegundua wao ndio uvianzisha kwa ajili ya kazi yao maalum kwa akili ya kawaida tu angalieni karibia nchi zote zenye utajiri wa asili either gesi au mafuta lazima ivi vikundi viwepo mfano nigeria,msumbiji etc. lengo lao ni kuwa keep busy na vita ili wao wachukue ivyo vitu.
umemjibu vema .Wewe acha uongo wako na kutetea ugaidi. Somalia, Mali, Burkina Faso, Cameroon nk kuna nini cha maana sana.
Nyie mnapigana Jihad mkifikiri mnaweza kuiteka dunia na kusilimisha wote kama mlivyofanya wakati wa kueneza dini yenu lakini hii ni karne nyingine rafiki mtaishia kujilipua tu hivyo labda kwenda kuambulia hao mabikra lkn zaidi ya hapo hamna.
Huwezi ukaeneza imani kwa nguvu hasa katika dunia ya leo. Forget it my friend.
Mito ya pombe mkuu na kobazi zake bustanini.Dini ya Hakhi, hapo anakwendazake kubembelezwa na mabikira 70 kwenye mito ya dhahabu 😁😁😁😳
Dohh mnachoshindwa kuelewa ni kitu kimoja kitu akifanya muislamu mmoja basi ndio mnachukulia Uislamu ndio uko ivyo nawakaribisha muusome uislamu vizuri then ndio mje mkosoe apa uislamu upo mbali na watu kama alshabab na wengine wanaotumia dini kama sehemu ya kufanyia mambo yao kwa manufaa ya watu wengine uko west NB: sheria za jihad kwenye uislamu aziruhusu kumpiga aliyekuwa nje ya uwanja wa vita,watoto na wanawake au wazee awaruhuisiwi kupigwa sijui umenielewa mpaka apo sasa chukua aya maneno yangu compare na vitu wanavyofanya awo uliowataja je vinaendana na aya niliyoyasema msipende kukosoa vitu bila kiwa na elimu navyo..mwenyezi mungu ndio mwenye kujua zaidi.hakuna anayeichukia dini yako ila matendo yenu ya kujilipua hovyo ili kudai haki yanajieleza yenyewe.Osama aliua sana sikuona mahali OIC ilimfuta uislamu wala fatwa kuwekwa juu yake.Boko haram wanaua kila siku sioni fatwa juu ya kichwa cha kiongozi wao. Al shabab waliuwa watu 500 wanunuzi wa mitumba na bidhaa za sokoni huko somalia mwaka jana, kwa saa moja na OIC ilikaa kimyaaaa bila hata ya kulaani viongozi wa al shabab.sasa sisi tulio jukwaani tusishangae hii enabling waiafanyayo the Arab league?
Dini watu wanajifunza kupitia matendo sio wote wana muda wa kusoma hivyo vitambu kwanza nani ana muda wa kujifunza kiarabu ndio aanze kusoma hivyo vitabu.Dohh mnachoshindwa kuelewa ni kitu kimoja kitu akifanya muislamu mmoja basi ndio mnachukulia Uislamu ndio uko ivyo nawakaribisha muusome uislamu vizuri then ndio mje mkosoe apa uislamu upo mbali na watu kama alshabab na wengine wanaotumia dini kama sehemu ya kufanyia mambo yao kwa manufaa ya watu wengine uko west NB: sheria za jihad kwenye uislamu aziruhusu kumpiga aliyekuwa nje ya uwanja wa vita,watoto na wanawake au wazee awaruhuisiwi kupigwa sijui umenielewa mpaka apo sasa chukua aya maneno yangu compare na vitu wanavyofanya awo uliowataja je vinaendana na aya niliyoyasema msipende kukosoa vitu bila kiwa na elimu navyo..mwenyezi mungu ndio mwenye kujua zaidi.
Suicide terrorism.Jamaa kaamua kulipuka tu hamna namna...isiwe tabu..kimsingi afe nao
District Commissioner Abdillahi Ali Waafow was among those killed in Wednesday's attack, the secretary-general of the Marka town administration in the Lower Shabelle region, Mohamed Osmaan Yariisoow, told The Associated Press by phone.
"Minutes after we had concluded a meeting we had at the district headquarters and were on our way out, we found an unknown man approached us and blew himself up," Yariisoow said, adding that the commissioner's bodyguards, traditional elders and women also were killed.
The Somalia-based extremist group al-Shabab claimed responsibility for the attack. Marka is about 100 kilometers south of Somalia's capital, Mogadishu.
Witness Hassan Abdullahi confirmed to the AP by phone that 11 people including the district commissioner had been killed.
"I heard a huge blast. I ran toward the explosion scene. I have seen with my own eyes several bodies and remains of human flesh scattered on the ground," he said.
MSN
www.msn.com
umekalilishwa kwaiyo makanisa yanayofungisha ndoa za jinsia moja je? ndio utasema ukristo unaruhusu ndoa za jinsia moja?Dini watu wanajifunza kupitia matendo sio wote wana muda wa kusoma hivyo vitambu kwanza nani ana muda wa kujifunza kiarabu ndio aanze kusoma hivyo vitabu.
Kuhusu tabia za kujilipua na kuua watu historia inaonyesha ni wengi wanafanya hivyo sio huyo tu..makundi yenye mlengo huo yanaua watu kila uchwao..nani mwenye akili timamu atakaye amini kuwa hiyo imani niya amani na upendo..kama sio imani ya chuki na mauaji.
#MaendeleoHayanaChama
Natamani kujua haya mafundisho yanafundishwa katika kanisa lipiNgoja wasio na akili wa wafuasi wa Kibwetere waje kukuambia dini ya uislamu ndiyo imefundisha hivyo.
Lakini tumeona hata shehe Muhsin kule Afrika Kusini akifagilia ndoa ya jinsia moja pamoja na kwamba sio mkristo.umekalilishwa kwaiyo makanisa yanayofungisha ndoa za jinsia moja je? ndio utasema ukristo unaruhusu ndoa za jinsia moja?
Kajifunze kwanza kuandika vizuri ndio uje kujibu hoja zangu.umekalilishwa kwaiyo makanisa yanayofungisha ndoa za jinsia moja je? ndio utasema ukristo unaruhusu ndoa za jinsia moja?
Islamic State.Hao Alshabab wanataka nini hasa??