Mpigie kura Alikiba hapa katika tuzo za MTVEMA

Mpigie kura Alikiba hapa katika tuzo za MTVEMA

Sure mkuu,,tell them
Ndugu yangu unaona ....... Tumetumia bando letu kumpigia kura,kumbe msanii wenyewe aliwekwa kwa ajili ya kujazia listi tu. Hebu njoo utuombe samahani kwa niaba yake,maana wewe ndio ulituhamasisha humu.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Ndugu zangu Diamond na Alikiba ni watoto wetu, Tuacheni kubagua, Kwa sasa tumpigie kura Alikiba, safar nyingibe inshalaah tutampa Diamond platinumz simba akija kuingia kwenye tuzo zozote huko mbeleni
😀😀😀😀
Mzee wa vote for davido, is it you????
Ha ha ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom