Mpigie kura Alikiba hapa katika tuzo za MTVEMA

Mpigie kura Alikiba hapa katika tuzo za MTVEMA

Mkuu ndiomana nimesema kuwa, sasa uteam tuweke pembeni, tuangalie taifa letu sasa, Tuwapende wasanii wetu wote bila kubagua
Leo ndio unajua hilo"
OYA SHEKITI BOBOO
MOVE YOUR FERRARI BOBOO
FLY TO PARIS BOOO
hahaha Olamide kanipa burudani sana Mwaka huu
"Who You Epp" ndio rington yangu
 
Leo ndio unajua hilo"
OYA SHEKITI BOBOO
MOVE YOUR FERRARI BOBOO
FLY TO PARIS BOOO
hahaha Olamide kanipa burudani sana Mwaka huu
"Who You Epp" ndio rington yangu
Halafu Olamide ana roho nzuri yule dogo lil kesh kasepa YBNL ila bado akitoa nyimbo hama mpost na kumpa support
 
Shardcole sasa siku zote ulikuwa wapi kulijua hili, wote ni vijana wetu au ulikuwa unajitia uchizi kwa kukijitoa ufaham, badilika kwani hujui huko mbele nani atakusaidia au mlikuwa hamna uhakika kuna siku kiba atakuwa nominated ktk tuzo kubwa , nyie ndio mnazipalilia hizo timu zisizokuwa na viwanja BADILIKA acha utoto, ukiona route za kwenda dukani kununua kiwembe haziishi , jua umekuwa na unatakiwa ufikiri kwa kuona mbali.
Hahahaha
 
Halafu Olamide ana roho nzuri yule dogo lil kesh kasepa YBNL ila bado akitoa nyimbo hama mpost na kumpa support
Jamaa mtu poa sana" alaf alisema atatua EA kupiga media tour maana kaona mziki wake Unakubalika sana east africa..
 
Habari wakuu!

Kutokana na uzito wa tuzo hizi za MTV Europe Music Awards, ambapo Alikiba ni mtanzania pekee anayewakilisha Tanzania na East Africa kwenye mtanange huo.
Hapa nimeamua kuleta hii thread maalumu kwa ajili tu ya kupiga kura (Voting) , Watanzania wote na East Africans kwa ujumla karibuni hapa tumpigie kura Alikiba, ambapo tumebakiwa na siku chache tu.

1.Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye link ntakayoituma hapa, itakupeleka moja kwa moja kwenye category aliyepo Kingkiba,

2.cha kufanya utaclick neno " VOTE" alaf utaletewa ujumbe thanks for voting, Unaruhusiwa kuvote mara nyingi uwezavyo.

Link ya kuvote

MTV EMA 2016 | 6.11.2016 | Rotterdam | Vote - Best Africa Act
Vote for cassper nyovest uku tuna ngojea kujaza orlando stadium n kuweka record afrika october 29 then tunaaenda kuchukua tuzo yetu nov 6.
 

Attachments

  • 1475183313543.jpg
    1475183313543.jpg
    36.1 KB · Views: 31
  • 1475183364764.jpg
    1475183364764.jpg
    24.1 KB · Views: 31
Una kumbuka hii post, ngojea nikuonyeshe ulivyochangia Shardcole huko chini ndio ulivyochangia je na wenzako wakufanya kama ww utajisikiaje, hujui sisi watz tumekuwa shaped na usimba na uyanga, nazani uliona mazembe walicheza na yanga, simba waliwasupport yanga, sasa nyinyi ndio mliozipalilia hizi timu, na ndio maana nilikuambia ww hustaili kufungua huu uzi kuhamsisha watu wampigie kura kutokana na UPUUZI na UPUMBAVU wako na najua watu wengi wa upande wa pili watampigia wizkid, kama nyinyi mlivyompigia, Kuna maswala tunatakiwa tuwe wa moja kama tunavyofanyaga big brother
View attachment 409099
Aaaagh...nlishapanga kumpigia kura 50 kabla ya saa 7 usiku huu ila baada ya kusoma hizi comments zako hapa nimeghairi mazima acha nilale.
 
Diamond aka Simba amenyakuwa 3 ,mpiga tembo picha kapewa tuzo na jokato
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom