Mpigie kura Alikiba hapa katika tuzo za MTVEMA

Mpigie kura Alikiba hapa katika tuzo za MTVEMA

Nimesha vote sasa ashinde alafu alete dharau...

Mkuu King hana dharau, mtu mwema sana utadhan ni mchungaji vile, huwez kumsikia akifanya dharau mahali popote pale, He is a good Man
 
Shardcole sasa siku zote ulikuwa wapi kulijua hili, wote ni vijana wetu au ulikuwa unajitia uchizi kwa kukijitoa ufaham, badilika kwani hujui huko mbele nani atakusaidia au mlikuwa hamna uhakika kuna siku kiba atakuwa nominated ktk tuzo kubwa , nyie ndio mnazipalilia hizo timu zisizokuwa na viwanja BADILIKA acha utoto, ukiona route za kwenda dukani kununua kiwembe haziishi , jua umekuwa na unatakiwa ufikiri kwa kuona mbali.
 
kwenye profile ya ALIKIBA kwenye hiyo tovuti imeandikwa udambu udambu hatareee wale wanaosema KING KIBA hajulikani nendeni mkajionee wenyewe kitu AJE AJE AJE AJE AJE
 
ALIKIBA NOMINATED AS THE BEST MUSIC ACT VOTE FOR KING KIBA
 
Sawa nishamvotia, ila uachage unazi wa timu, hazijengi!
 
Attachments

  • screpavote.jpg
    screpavote.jpg
    89.7 KB · Views: 34
Una kumbuka hii post, ngojea nikuonyeshe ulivyochangia Shardcole huko chini ndio ulivyochangia je na wenzako wakufanya kama ww utajisikiaje, hujui sisi watz tumekuwa shaped na usimba na uyanga, nazani uliona mazembe walicheza na yanga, simba waliwasupport yanga, sasa nyinyi ndio mliozipalilia hizi timu, na ndio maana nilikuambia ww hustaili kufungua huu uzi kuhamsisha watu wampigie kura kutokana na UPUUZI na UPUMBAVU wako na najua watu wengi wa upande wa pili watampigia wizkid, kama nyinyi mlivyompigia, Kuna maswala tunatakiwa tuwe wa moja kama tunavyofanyaga big brother
Screenshot_2016-09-29-15-44-26.png
 
Attachments

  • Screenshot_2016-09-29-15-45-48.png
    Screenshot_2016-09-29-15-45-48.png
    24.3 KB · Views: 33
Mnatumia browser gani kuvote??
UC mini inakataa nimerudia mara 5 sasa
Nahitaji kumpigia kura Ali Kiba ushindi uje nyumbani
 
Una kumbuka hii post, ngojea nikuonyeshe ulivyochangia Shardcole huko chini ndio ulivyochangia je na wenzako wakufanya kama ww utajisikiaje, hujui sisi watz tumekuwa shaped na usimba na uyanga, nazani uliona mazembe walicheza na yanga, simba waliwasupport yanga, sasa nyinyi ndio mliozipalilia hizi timu, na ndio maana nilikuambia ww hustaili kufungua huu uzi kuhamsisha watu wampigie kura kutokana na UPUUZI na UPUMBAVU wako na najua watu wengi wa upande wa pili watampigia wizkid, kama nyinyi mlivyompigia, Kuna maswala tunatakiwa tuwe wa moja kama tunavyofanyaga big brother
View attachment 409099
hahahahha Msamehe bana, leo wamekumbuka uzalendo hahaha
 
Back
Top Bottom