Una kumbuka hii post, ngojea nikuonyeshe ulivyochangia
Shardcole huko chini ndio ulivyochangia je na wenzako wakufanya kama ww utajisikiaje, hujui sisi watz tumekuwa shaped na usimba na uyanga, nazani uliona mazembe walicheza na yanga, simba waliwasupport yanga, sasa nyinyi ndio mliozipalilia hizi timu, na ndio maana nilikuambia ww hustaili kufungua huu uzi kuhamsisha watu wampigie kura kutokana na UPUUZI na UPUMBAVU wako na najua watu wengi wa upande wa pili watampigia wizkid, kama nyinyi mlivyompigia, Kuna maswala tunatakiwa tuwe wa moja kama tunavyofanyaga big brother
View attachment 409099