Umtama Mula
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 291
- 798
Hizo sifa za kuruka na mafundo ni za kweli kwa mzee Mabondo eeeh Mutama?Siku mkipata nafasi ya kumhoji huyu Nguli wa nyimbo za injiri.Muulizeni nini kilimkuta siku alipofika Kibondo kueneza injiri.
Muulizeni kuhusu mwamba wa kuitwa Mabondo, hadi akamuimba na kuwatuma watu wamwambie aache kuruka na mafundo kwenye wimbo wake wa Agenda.
Hiki chuma cha kuitwa Mabondo kipo pale mtaa wa Nengo ndani ya Wilaya ya Kibondo. Rose Muhando haji kukisahau.
Mama yetu hadi akaamua kumuimba, kilimkuta kitu. Kibondo siyo pa mchezoHizo sifa za kuruka na mafundo ni za kweli kwa mzee Mabondo eeeh Mutama?
Kilimkuta kitu mkuuAlikuwa ana maana gani
Kitu ganiKilimkuta kitu mkuu
Kilimkuta kitu mkuu
Soma maelezoKitu gani