Mpina: ACT Wazalendo tunaenda mahakamani kupinga Sheria ya Fedha 2026

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema chama hicho kimepanga kufungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya vipengele vya Sheria ya Fedha wa mwaka 2026, kikidai kuwa vinaongeza mzigo wa kodi kwa wananchi wa kipato cha chini huku vikitoa misamaha kwa wawekezaji wakubwa.

Soma: Mpina: Zungu na Kamati ya Bajeti, kukosoa bajeti baada ya kuipitisha ni kuwafanyia 'massage' Watanzania

Mpina amesema ACT-Wazalendo ilifanya uchambuzi wa muswada huo na kutoa mapendekezo 18 ya marekebisho, lakini serikali ilikubali kurekebisha maeneo sita pekee, huku maeneo 12 yakibaki bila mabadiliko. Amesema chama hicho kitapinga mahakamani kuanzishwa kwa baadhi ya kodi mpya pamoja na misamaha ya kodi iliyopendekezwa na serikali.

Mahakama zipi? Kesi ya Prof Asaad former CAG leo mwaka wa 6 iko Court of Appeal
 
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema chama hicho kimepanga kufungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya vipengele vya Sheria ya Fedha wa mwaka 2026, kikidai kuwa vinaongeza mzigo wa kodi kwa wananchi wa kipato cha chini huku vikitoa misamaha kwa wawekezaji wakubwa.

Soma: Mpina: Zungu na Kamati ya Bajeti, kukosoa bajeti baada ya kuipitisha ni kuwafanyia 'massage' Watanzania

Mpina amesema ACT-Wazalendo ilifanya uchambuzi wa muswada huo na kutoa mapendekezo 18 ya marekebisho, lakini serikali ilikubali kurekebisha maeneo sita pekee, huku maeneo 12 yakibaki bila mabadiliko. Amesema chama hicho kitapinga mahakamani kuanzishwa kwa baadhi ya kodi mpya pamoja na misamaha ya kodi iliyopendekezwa na serikali.

Wanaenda kuishtaki serikali kwenye mahakama gani? Hizi hizi mahakama ambazo Rostam Azoz alisema zinafanya kazi kwa maelekezo kutoka ikulu?
 
Kwa mahakama hz ambazo zinasubilia CAG astaff ndio zitoe ukumu yake. Kwa kigezo cha umri na sio sheria. Mahakama hz ni takataka tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema chama hicho kimepanga kufungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya vipengele vya Sheria ya Fedha wa mwaka 2026, kikidai kuwa vinaongeza mzigo wa kodi kwa wananchi wa kipato cha chini huku vikitoa misamaha kwa wawekezaji wakubwa.

Soma: Mpina: Zungu na Kamati ya Bajeti, kukosoa bajeti baada ya kuipitisha ni kuwafanyia 'massage' Watanzania

Mpina amesema ACT-Wazalendo ilifanya uchambuzi wa muswada huo na kutoa mapendekezo 18 ya marekebisho, lakini serikali ilikubali kurekebisha maeneo sita pekee, huku maeneo 12 yakibaki bila mabadiliko. Amesema chama hicho kitapinga mahakamani kuanzishwa kwa baadhi ya kodi mpya pamoja na misamaha ya kodi iliyopendekezwa na serikali.

You would think they aren’t familiar with the Tanzanian kangaroo courts. Kesi itaisha mwaka mwingine wa fedha!
 
Political stunt! ACT mnapoteza muda tu! Mnataka ku achieve nini. Mnategemea Mahakama itafanya nini!
Mlipokwenda Bungeni hamkujua kwamba idadi ina umuhimu na kwamba mtakuwa rubber stamp.
Tulieni msubiri nusu mkate
 
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema chama hicho kimepanga kufungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya vipengele vya Sheria ya Fedha wa mwaka 2026, kikidai kuwa vinaongeza mzigo wa kodi kwa wananchi wa kipato cha chini huku vikitoa misamaha kwa wawekezaji wakubwa.

Soma: Mpina: Zungu na Kamati ya Bajeti, kukosoa bajeti baada ya kuipitisha ni kuwafanyia 'massage' Watanzania

Mpina amesema ACT-Wazalendo ilifanya uchambuzi wa muswada huo na kutoa mapendekezo 18 ya marekebisho, lakini serikali ilikubali kurekebisha maeneo sita pekee, huku maeneo 12 yakibaki bila mabadiliko. Amesema chama hicho kitapinga mahakamani kuanzishwa kwa baadhi ya kodi mpya pamoja na misamaha ya kodi iliyopendekezwa na serikali.

Hawa ACT Wana akili wamechambua Bajeti vizuri na Sasa qanachukua hatua sio kama wale wengine wapumbavu ambao hawana hoja ila matusi,taharuki na uzushi.
 
Huyu
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema chama hicho kimepanga kufungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya vipengele vya Sheria ya Fedha wa mwaka 2026, kikidai kuwa vinaongeza mzigo wa kodi kwa wananchi wa kipato cha chini huku vikitoa misamaha kwa wawekezaji wakubwa.

Soma: Mpina: Zungu na Kamati ya Bajeti, kukosoa bajeti baada ya kuipitisha ni kuwafanyia 'massage' Watanzania

Mpina amesema ACT-Wazalendo ilifanya uchambuzi wa muswada huo na kutoa mapendekezo 18 ya marekebisho, lakini serikali ilikubali kurekebisha maeneo sita pekee, huku maeneo 12 yakibaki bila mabadiliko. Amesema chama hicho kitapinga mahakamani kuanzishwa kwa baadhi ya kodi mpya pamoja na misamaha ya kodi iliyopendekezwa na serikali.

Huyu mpina ni muhuni tu
 
Act wazalendo wa Zanzibar siwapendi naona kichefuchefu hata kuwasikia wanatubagua wabara sana siwapendi siwapendi siwapendi
 
Matapeli tu, wameona CHADEMA imeteka anga ndio wanajikimbiza mahakamani. Si wapo bungeni huko.
 
Back
Top Bottom