Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mahakama zipi? Kesi ya Prof Asaad former CAG leo mwaka wa 6 iko Court of AppealNaibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema chama hicho kimepanga kufungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya vipengele vya Sheria ya Fedha wa mwaka 2026, kikidai kuwa vinaongeza mzigo wa kodi kwa wananchi wa kipato cha chini huku vikitoa misamaha kwa wawekezaji wakubwa.
Soma: Mpina: Zungu na Kamati ya Bajeti, kukosoa bajeti baada ya kuipitisha ni kuwafanyia 'massage' Watanzania
Mpina amesema ACT-Wazalendo ilifanya uchambuzi wa muswada huo na kutoa mapendekezo 18 ya marekebisho, lakini serikali ilikubali kurekebisha maeneo sita pekee, huku maeneo 12 yakibaki bila mabadiliko. Amesema chama hicho kitapinga mahakamani kuanzishwa kwa baadhi ya kodi mpya pamoja na misamaha ya kodi iliyopendekezwa na serikali.
Wanaenda kuishtaki serikali kwenye mahakama gani? Hizi hizi mahakama ambazo Rostam Azoz alisema zinafanya kazi kwa maelekezo kutoka ikulu?Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema chama hicho kimepanga kufungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya vipengele vya Sheria ya Fedha wa mwaka 2026, kikidai kuwa vinaongeza mzigo wa kodi kwa wananchi wa kipato cha chini huku vikitoa misamaha kwa wawekezaji wakubwa.
Soma: Mpina: Zungu na Kamati ya Bajeti, kukosoa bajeti baada ya kuipitisha ni kuwafanyia 'massage' Watanzania
Mpina amesema ACT-Wazalendo ilifanya uchambuzi wa muswada huo na kutoa mapendekezo 18 ya marekebisho, lakini serikali ilikubali kurekebisha maeneo sita pekee, huku maeneo 12 yakibaki bila mabadiliko. Amesema chama hicho kitapinga mahakamani kuanzishwa kwa baadhi ya kodi mpya pamoja na misamaha ya kodi iliyopendekezwa na serikali.
Mpina anapenda sana kwenda mahakamani hadi naona na yeye ni mamlukiMadereka ni mamluki
You would think they aren’t familiar with the Tanzanian kangaroo courts. Kesi itaisha mwaka mwingine wa fedha!Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema chama hicho kimepanga kufungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya vipengele vya Sheria ya Fedha wa mwaka 2026, kikidai kuwa vinaongeza mzigo wa kodi kwa wananchi wa kipato cha chini huku vikitoa misamaha kwa wawekezaji wakubwa.
Soma: Mpina: Zungu na Kamati ya Bajeti, kukosoa bajeti baada ya kuipitisha ni kuwafanyia 'massage' Watanzania
Mpina amesema ACT-Wazalendo ilifanya uchambuzi wa muswada huo na kutoa mapendekezo 18 ya marekebisho, lakini serikali ilikubali kurekebisha maeneo sita pekee, huku maeneo 12 yakibaki bila mabadiliko. Amesema chama hicho kitapinga mahakamani kuanzishwa kwa baadhi ya kodi mpya pamoja na misamaha ya kodi iliyopendekezwa na serikali.
CCM BACT wana utoto mwingi
Hawa ACT Wana akili wamechambua Bajeti vizuri na Sasa qanachukua hatua sio kama wale wengine wapumbavu ambao hawana hoja ila matusi,taharuki na uzushi.Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema chama hicho kimepanga kufungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya vipengele vya Sheria ya Fedha wa mwaka 2026, kikidai kuwa vinaongeza mzigo wa kodi kwa wananchi wa kipato cha chini huku vikitoa misamaha kwa wawekezaji wakubwa.
Soma: Mpina: Zungu na Kamati ya Bajeti, kukosoa bajeti baada ya kuipitisha ni kuwafanyia 'massage' Watanzania
Mpina amesema ACT-Wazalendo ilifanya uchambuzi wa muswada huo na kutoa mapendekezo 18 ya marekebisho, lakini serikali ilikubali kurekebisha maeneo sita pekee, huku maeneo 12 yakibaki bila mabadiliko. Amesema chama hicho kitapinga mahakamani kuanzishwa kwa baadhi ya kodi mpya pamoja na misamaha ya kodi iliyopendekezwa na serikali.
Huyu mpina ni muhuni tuNaibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema chama hicho kimepanga kufungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya vipengele vya Sheria ya Fedha wa mwaka 2026, kikidai kuwa vinaongeza mzigo wa kodi kwa wananchi wa kipato cha chini huku vikitoa misamaha kwa wawekezaji wakubwa.
Soma: Mpina: Zungu na Kamati ya Bajeti, kukosoa bajeti baada ya kuipitisha ni kuwafanyia 'massage' Watanzania
Mpina amesema ACT-Wazalendo ilifanya uchambuzi wa muswada huo na kutoa mapendekezo 18 ya marekebisho, lakini serikali ilikubali kurekebisha maeneo sita pekee, huku maeneo 12 yakibaki bila mabadiliko. Amesema chama hicho kitapinga mahakamani kuanzishwa kwa baadhi ya kodi mpya pamoja na misamaha ya kodi iliyopendekezwa na serikali.
Unamaanisha chadomo?Hawa ACT Wana akili wamechambua Bajeti vizuri na Sasa qanachukua hatua sio kama wale wengine wapumbavu ambao hawana hoja ila matusi,taharuki na uzushi.
CHADEMA itawatesa sana. Mpaka mnakufaHawa ACT Wana akili wamechambua Bajeti vizuri na Sasa qanachukua hatua sio kama wale wengine wapumbavu ambao hawana hoja ila matusi,taharuki na uzushi.
Jifute kwanza wewe mwenyewe.Unamaanisha chadomo?
Kama ni wao niambie nikifute fasta.