GE2025 Mpina adai kuenguliwa kwa baadhi ya Wabunge kura za maoni CCM kunalenga kulea ufisadi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kuenguliwa kwa waliokuwa wabunge 28 katika katika kura za maoni za CCM akisema yamelenga kuondoa wabunge wanaouliza maswali na kutoa hoja bungeni.

Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Agosti 14 jijini Dar es Salaam, amewataja baadhi ya wabunge akiwamo yeye mwenyewe aliyekuwa Mbunge wa Kisesa (Simiyu), Godfrey Kunambi (Mlimba), Flatey Massay (Mbulu), Joseph Oleshangay (Ngorongoro), Josephat Gwajima (Kawe), Mrisho Gambo (Arusha), Christopher Olesendeka (Simanjiro).

“Wabunge hawa 28, ukiichukua orodha yao, ile cream yote iliyokuwa ikiuliza maswali bungeni wameondolwa, ili ufisadi upate nafasi, ili wake za mawaziri wapiti, ili kufanikisha magenge yao yaendelee,” amesema.

si w

si wajiunge nae ACT WAZALENDO sasa ikiwa ni hivyo 🐒
 
IMG-20240208-WA0310.jpg
 
Kumeanza kuchangamka.Je huyu sio mpinzani wa kweli?

Chadomo mpo?
 
Kwani ukiwa mbunge ni lazima kila mwaka ugombee wewe tuu?
 
Ni kweli kama ikivyokuwa kumpitisha Ditopile kule Kondoa , Kariuki Kibamba , yaani wote watakuwa watu wake
 
Back
Top Bottom