Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
si wajiunge nae ACT WAZALENDO sasa ikiwa ni hivyo 🐒Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kuenguliwa kwa waliokuwa wabunge 28 katika katika kura za maoni za CCM akisema yamelenga kuondoa wabunge wanaouliza maswali na kutoa hoja bungeni.
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Agosti 14 jijini Dar es Salaam, amewataja baadhi ya wabunge akiwamo yeye mwenyewe aliyekuwa Mbunge wa Kisesa (Simiyu), Godfrey Kunambi (Mlimba), Flatey Massay (Mbulu), Joseph Oleshangay (Ngorongoro), Josephat Gwajima (Kawe), Mrisho Gambo (Arusha), Christopher Olesendeka (Simanjiro).
“Wabunge hawa 28, ukiichukua orodha yao, ile cream yote iliyokuwa ikiuliza maswali bungeni wameondolwa, ili ufisadi upate nafasi, ili wake za mawaziri wapiti, ili kufanikisha magenge yao yaendelee,” amesema.
Chawa mchafu huchezi mbali na kitumbua cha KIZIMKAZIsi w
si wajiunge nae ACT WAZALENDO sasa ikiwa ni hivyo 🐒
si w

Kumeanza kuchangamka.Je huyu sio mpinzani wa kweli?Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kuenguliwa kwa waliokuwa wabunge 28 katika katika kura za maoni za CCM akisema yamelenga kuondoa wabunge wanaouliza maswali na kutoa hoja bungeni.
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Agosti 14 jijini Dar es Salaam, amewataja baadhi ya wabunge akiwamo yeye mwenyewe aliyekuwa Mbunge wa Kisesa (Simiyu), Godfrey Kunambi (Mlimba), Flatey Massay (Mbulu), Joseph Oleshangay (Ngorongoro), Josephat Gwajima (Kawe), Mrisho Gambo (Arusha), Christopher Olesendeka (Simanjiro).
“Wabunge hawa 28, ukiichukua orodha yao, ile cream yote iliyokuwa ikiuliza maswali bungeni wameondolwa, ili ufisadi upate nafasi, ili wake za mawaziri wapiti, ili kufanikisha magenge yao yaendelee,” amesema.
Kwani ukiwa mbunge ni lazima kila mwaka ugombee wewe tuu?Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kuenguliwa kwa waliokuwa wabunge 28 katika katika kura za maoni za CCM akisema yamelenga kuondoa wabunge wanaouliza maswali na kutoa hoja bungeni.
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Agosti 14 jijini Dar es Salaam, amewataja baadhi ya wabunge akiwamo yeye mwenyewe aliyekuwa Mbunge wa Kisesa (Simiyu), Godfrey Kunambi (Mlimba), Flatey Massay (Mbulu), Joseph Oleshangay (Ngorongoro), Josephat Gwajima (Kawe), Mrisho Gambo (Arusha), Christopher Olesendeka (Simanjiro).
“Wabunge hawa 28, ukiichukua orodha yao, ile cream yote iliyokuwa ikiuliza maswali bungeni wameondolwa, ili ufisadi upate nafasi, ili wake za mawaziri wapiti, ili kufanikisha magenge yao yaendelee,” amesema.
Ni kweli kama ikivyokuwa kumpitisha Ditopile kule Kondoa , Kariuki Kibamba , yaani wote watakuwa watu wakeMgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kuenguliwa kwa waliokuwa wabunge 28 katika katika kura za maoni za CCM akisema yamelenga kuondoa wabunge wanaouliza maswali na kutoa hoja bungeni.