Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kisheria Msajili wa vyama vya siasa anahusika vipi na uchaguzi?Mwanachama wa ACT ndiye aliyelalamika kuwa kanuni za chama hazikufuatwa malalamiko yake akapeleka kwenye chama na kwa msajili akiwa Mpina tayari alishachukua fomu.
Yeye ni msamamizi wa vyama kupitia katiba na kanuni za vyama vyenyewe. Sasa kama chama akikufuate kanuni zake na kuna mwanachama analalamika unafikiri Msajili wa Vyama vya Siasa afanyeje mkuu?Kisheria Msajili wa vyama vya siasa anahusika vipi na uchaguzi?
Sheria za uchaguzi Msajili wa vyama vya siasa AHUSIKI!!Yeye ni msamamizi wa vyama kupitia katiba na kanuni za vyama vyenyewe. Sasa kama chama akikufuate kanuni zake na kuna mwanachama analalamika unafikiri Msajili wa Vyama vya Siasa afanyeje mkuu?
Sheria wakati mwingine zinasomwa pamoja na sheria nyingine inayohusiana na fact in issue. Sheria inasema ili uwe mgombea wa urais wa JMT lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa. Sasa kama uanachama wako na ushiriki wako kwenye chama chako unamatatizo then automatically huwezi kuwa mgombea kwenye nafasi inayosimamiwa na Tume ya Uchaguzi. Be infomed mkuu.Sheria za uchaguzi Msajili wa vyama vya siasa AHUSIKI!!
Anayethibitisha uanachama wa mtu ni chama husika cha siasa ama ni Msajili wa vyama vya siasa?Sheria wakati mwingine zinasomwa pamoja na sheria nyingine inayohusiana na fact in issue. Sheria inasema ili uwe mgombea wa urais wa JMT lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa. Sasa kama uanachama wako na ushiriki wako kwenye chama chako unamatatizo then automatically huwezi kuwa mgombea kwenye nafasi inayosimamiwa na Tume ya Uchaguzi. Be infomed mkuu.
Wewe usilete hadithi za Alf ulelah ulelah hapa. Pingamizi linatakiwa liwekwe na mgombea mwingine na siyo Msajili.Sheria wakati mwingine zinasomwa pamoja na sheria nyingine inayohusiana na fact in issue. Sheria inasema ili uwe mgombea wa urais wa JMT lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa. Sasa kama uanachama wako na ushiriki wako kwenye chama chako unamatatizo then automatically huwezi kuwa mgombea kwenye nafasi inayosimamiwa na Tume ya Uchaguzi. Be infomed mkuu.
INEC wote ni CCM.Wakulaumiwa ni hao iNEC
Kumbe na chat na shithole!!Wewe usilete hadithi za Alf ulelah ulelah hapa. Pingamizi linatakiwa liwekwe na mgombea mwingine na siyo Msajili.
Uanchama uhojiwa mahakamani. Kumbukumbu kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA.
Ngoja tusubiri hukumu ya Mahakama Kuu mkuu!Anayethibitisha uanachama wa mtu ni chama husika cha siasa ama ni Msajili wa vyama vya siasa?
Halafu Sheria zinasema anayeweka pingamizi ni mgombea Sasa Tume ingepokea kwanza fomu ili mwenye pingamizi aweke.
Sheria zisizolandana haziwezi kusomwa Kwa pamoja. Sheria ya kuanzishwa Kwa ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa haihusiani hata kidogo na Sheria ya Tume ya uchaguzi. Unazisomaje kwa pamoja?