Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Watu waliozaliwa ilala na temeke...nchi imerud kwa wenyewNchi inaendeshwa na watoto wa mjini, watu makini na mabobezi kama mpina watawekwa pembeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu waliozaliwa ilala na temeke...nchi imerud kwa wenyewNchi inaendeshwa na watoto wa mjini, watu makini na mabobezi kama mpina watawekwa pembeni
Hii inasaidia nini kwa watu wa kawaida?MGOMBEA Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Luhaga Mpina ameweka wazi CV yake.
Huyu ana msindikiza mtu. Kwani si wabunge ndio wana kubali kuburuzwa? Kama akiwa mbunge alikubali kuwa mhuri, iweje akiwa spika asikubali kuwa karatasi?? Ccm ni ileile.Haiwezekani kwa sasa, ni ujanja wake tu wa kujitofautisha na wengine ili apewe hicho kiti na chama chake.
Kwa sasa hakuna Spika atakayepatikana nje ya ccm, kwahiyo tusaidie ili apatikane ambaye akianza kazi zake watu tuseme kweli huyu mhe anachapa kazi na ni muadilifu kweli kweli !! Hata watoto wa baba mmoja na mama mmoja hawawezi wote wakawa na tabia moja !! Refer to Mr Samwel Sitta !! Angalau there was a difference ! Au nasema uongo !!??Yupo CCM?Hamna kitu.Porojo kama gunia nne!
kwani mhimili mkuu ni upi?Spika Akiwa Imara Na Jasiri Watamshambulia Kwa Kusema Hana Heshima Kwa Mhimili Mkuu.
Muulize mheshimiwa aliyejiuzulu !!kwani mhimili mkuu ni upi?
IAngalau huyu mwamba anashawishi , kuyasema Tu hayo maneno ni ujasiri tosha japo kiutendaji ni Jambo jingine ...!!!
Sidhani kama umeelewa!Kwa sasa hakuna Spika atakayepatikana nje ya ccm, kwahiyo tusaidie ili apatikane ambaye akianza kazi zake watu tuseme kweli huyu mhe anachapa kazi na ni muadilifu kweli kweli !! Hata watoto wa baba mmoja na mama mmoja hawawezi wote wakawa na tabia moja !! Refer to Mr Samwel Sitta !! Angalau there was a difference ! Au nasema uongo !!??
At least yeye kaonesha kujiamini, sio kama wakina Tulia AHaiwezekani kwa sasa, ni ujanja wake tu wa kujitofautisha na wengine ili apewe hicho kiti na chama chake.