Mpina aibukia Zanzibar kuchukua fomu kuwania Uspika, azuru kaburi la hayati Sheikh Abeid Amani Karume

Mpina huyu huyu aliyekuwa kiatu cha Rais Magufuli?Aliye kuwa anapima samaki kwa rula mahotelini?
Ndiyo awe spika?
 
Kama kweli ana agenda hiyo ya kusimama kikamilifu kama spika endapo atachaguliwa, basi angemute hadi baada ya kushinda uspika ndipo aibuke na mikakati hiyo. Kwa hayo aliyoyasema, hawatampitisha katika mchujo wa CC . Ninavyoona, nafasi hiyo inatakiwa kujazwa na mtu wa yes yes.
 

Amevunja kanuni ya ccm ya kuanza campaign mapema hivyo atakuwa mmoja kati ya wale watakao kuwa eliminated kwenye kikao cha uteuzi cha kwanza!!!
 
Hata mm nimemkubali....anazo agenda nzitonzito.....ila nina mashaka kama kwenye kamati kuu atapitishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…