Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
View: https://youtu.be/bUHv7OhYLzA?si=QYkQwS6JTsb4cmgk
Baada ya Rais kumfahamisha Mpina kuwa yeye ni mbunge wa Taifa na alisema ata Metis katika zile nafasi zake kumi. Leo hii Mpina ni mgombea U-Rais kwa tiketi ya ACT Wazalendo. Hii ni moja ya zile nafasi kumi za Rais?
Kule Zaire Mobutu alikua na vyama vya siasa venue lengo la kuonyesha kuwa kuna upinzani lakini ki uhalisia chama kilikua ni kimoja tu ambacho Mobutu ndiye alikua mgombea.