Mpina aliitwa mbunge wa Taifa na Rais Akihito kumteua katika nafasi zake 10

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438

View: https://youtu.be/bUHv7OhYLzA?si=QYkQwS6JTsb4cmgkBaada ya Rais kumfahamisha Mpina kuwa yeye ni mbunge wa Taifa na alisema ata Metis katika zile nafasi zake kumi. Leo hii Mpina ni mgombea U-Rais kwa tiketi ya ACT Wazalendo. Hii ni moja ya zile nafasi kumi za Rais?

Kule Zaire Mobutu alikua na vyama vya siasa venue lengo la kuonyesha kuwa kuna upinzani lakini ki uhalisia chama kilikua ni kimoja tu ambacho Mobutu ndiye alikua mgombea.
 
Kauli ya Rais inahusiana vipi na mpina kuwa ACT.


Hapa Tanzania kuna watu wengi wana -fake struggle hata katika Vyama unavyoviamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…