Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani alihusika na dili na ufisadi mkubwa sana kwenye wizara hiyo.

Mfano wa ufisadi ni kuajiri wafanyakazi 6 bila kutoa tangazo wala kuwafanyia interview, wafanyakazi hao walikuja kuhusika moja kwa moja na katakata ya umeme iliyokuwa imeshika kasi nchini.

Ufisadi namba mbili ni kufuta vituo vyote vya huduma kwa wateja mikoani na kucentralize huduma Dares salaam kwa kampuni la Airlink ambalo halijulikani lililetwa na nani, na wananchi kutozwa gharama kila wanapopiga huduma kwa wateja ambapo hizo hela haieleweki analipwa nani.

Ufisadi namba tatu ni mradi wa kuweka umeme kwenye mji wa serikali Mtumba ambapo January Makamba alipandisha gharama kutoka billioni 41 hadi billion 50 bila kuelezwa sababu ni nini!

View attachment 2973633
Lazima ujue kule Sio kufukuzwa Bali amemaliza kazi aliyokuwa ametumwa pale Tanesco na mkuu wake. CCM Hakuna msafi Aliye Msafi CCM hana maisha. Ukiona Rais hanyioshei kidole uovu Ni vile wote ni hao hao.
 
Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani alihusika na dili na ufisadi mkubwa sana kwenye wizara hiyo.

Mfano wa ufisadi ni kuajiri wafanyakazi 6 bila kutoa tangazo wala kuwafanyia interview, wafanyakazi hao walikuja kuhusika moja kwa moja na katakata ya umeme iliyokuwa imeshika kasi nchini.

Ufisadi namba mbili ni kufuta vituo vyote vya huduma kwa wateja mikoani na kucentralize huduma Dares salaam kwa kampuni la Airlink ambalo halijulikani lililetwa na nani, na wananchi kutozwa gharama kila wanapopiga huduma kwa wateja ambapo hizo hela haieleweki analipwa nani.

Ufisadi namba tatu ni mradi wa kuweka umeme kwenye mji wa serikali Mtumba ambapo January Makamba alipandisha gharama kutoka billioni 41 hadi billion 50 bila kuelezwa sababu ni nini!

May be an image of one or more people, slow loris and text that says 'wizi WAMEUBADIL SHIA JINA WANAUITA UBADHIRIFU.. VieiD 225/24'
 
Makamba hawezi kusimama na watu wenye elimu zetu zinazofahamika. Makamba hawezi kusimama na watu tuliopanda bila kubebwa.

Mta mu- admire nyinyi tu musio na akili
Makamba ni kiazi, mtu wa kuiba mitihani
 
Back
Top Bottom