Mpina Anastahili Ulinzi, ni Mwanasiasa mkweli mwenye uthubutu na njia mbadala

Mpina Anastahili Ulinzi, ni Mwanasiasa mkweli mwenye uthubutu na njia mbadala

Msipende kusifusifu watu msifuni Mungu binadamu kukosea ni lazima!!
Sifuni jambo zuri lililofanywa sio kumsifu mmmmtu as if hakoseagi au hatokoseaga...
Eti mwanasiasa mkweli you mad!! Sisiem kuna mwanasiasa mkweli???? Stupid kabisa!! Ukiwa mkweli kidogo tuu hutoweza kukaa ccm kaa ukijua...
 
GPA tunaziona kwenye michango yao....., Gulu kaachwa mbali sana na Pina.hapo ndo utajua kuwa kuna GPA za mchongo kama ilivyokuwa PhD ya Bwana yulee....
Sema kwa akili yangu finyu nimeona Pina kamuacha gulu
 
Ilianzia hapa!
[emoji116]

Kisha ikafuatia hapa!
[emoji116]

Kisha sikiliza hoja ya Mpina!
[emoji116]

Kwa sababu,nchi hii watu wakweli ndio wanawindwa kuliko majambazi na Mafisadi!
Ameamua kwa dhati,kujitwisha msalaba wa kuwatetea wanyonge dhidi ya kundi kubwa la Madhalimu nchini!

Anaziona kero za ufisadi mkubwa,na kuusema bila hofu!

Amekubali kuuweka ubunge wake ndani ya CCM rehani!
Ilimradi ameusema unyang'anyi mkubwa wa genge hili ndani ya CCM.

Mpina anastahili kupewa Ulinzi na Serikali.

Kwa sababu!
Nchi hii watu wakweli kama Mpina wanawindwa kama swala!

Tungekuwa na wabunge hawa ata watano tu tungefika mbali sana
 
Yupo nje ya mfumo lazima aseme ukweli... Miaka mitano ya jiwe amekula ameua ndugu zetu ziwa Victoria hivyo kiama chake kinakuja.
 
Ilianzia hapa!
[emoji116]

Kisha ikafuatia hapa!
[emoji116]

Kisha sikiliza hoja ya Mpina!
[emoji116]

Kwa sababu,nchi hii watu wakweli ndio wanawindwa kuliko majambazi na Mafisadi!
Ameamua kwa dhati,kujitwisha msalaba wa kuwatetea wanyonge dhidi ya kundi kubwa la Madhalimu nchini!

Anaziona kero za ufisadi mkubwa,na kuusema bila hofu!

Amekubali kuuweka ubunge wake ndani ya CCM rehani!
Ilimradi ameusema unyang'anyi mkubwa wa genge hili ndani ya CCM.

Mpina anastahili kupewa Ulinzi na Serikali.

Kwa sababu!
Nchi hii watu wakweli kama Mpina wanawindwa kama swala!

Wengi wanapiga kelele wakiwa si sehemu ya wanufaika. Nia yao si njema.
 
Dar supermarket, mbowe, mo alitaka kukimbia wakamdaka wakamweka pasiponulikana, Nimrod mkono kafilisiwa Mali zote mpaka kapalalise hatoki ndani kwake masaki labda mama huyu ambaye ana utu amrudishie hela zake, watu wamekufa wengi kwa presha kwa kikosi kazi alivhokianzisha kuvamia accounts za watu mchana kweupeee, nani angekuja kuanzisha biashara tena zaidi ya kukimbia na wengine kuahirisha kabisa. Mi mwenyewe account yangu aliiba hela zangu zote. Laana ndo imuua yule jamaa kila Kona walikuwa wanamuona mshenzi tu ispokuwa the so called " wanyonge" ambao walikuwa wanafurahia kudhuliwa kwa mtu ili iwe relief kwao ili kujustify uzembe na umaskini wao.
 
Ni mbunge pekee aliebakia CCM mwenye hoja kinzani zenye mashiko .Yuko vizuri sana na msimamo wake thabiti na anatoa hoja zenye mashiko hatakwa rafiki yake Bashe japo walikuwa chuo kimoja mzumbe lkn wanqbishana kwa facts
 
Back
Top Bottom