Mpina Anastahili Ulinzi, ni Mwanasiasa mkweli mwenye uthubutu na njia mbadala

Msipende kusifusifu watu msifuni Mungu binadamu kukosea ni lazima!!
Sifuni jambo zuri lililofanywa sio kumsifu mmmmtu as if hakoseagi au hatokoseaga...
Eti mwanasiasa mkweli you mad!! Sisiem kuna mwanasiasa mkweli???? Stupid kabisa!! Ukiwa mkweli kidogo tuu hutoweza kukaa ccm kaa ukijua...
 
GPA tunaziona kwenye michango yao....., Gulu kaachwa mbali sana na Pina.hapo ndo utajua kuwa kuna GPA za mchongo kama ilivyokuwa PhD ya Bwana yulee....
Sema kwa akili yangu finyu nimeona Pina kamuacha gulu
 
Tungekuwa na wabunge hawa ata watano tu tungefika mbali sana
 
Yupo nje ya mfumo lazima aseme ukweli... Miaka mitano ya jiwe amekula ameua ndugu zetu ziwa Victoria hivyo kiama chake kinakuja.
 
Wengi wanapiga kelele wakiwa si sehemu ya wanufaika. Nia yao si njema.
 
 
Ni mbunge pekee aliebakia CCM mwenye hoja kinzani zenye mashiko .Yuko vizuri sana na msimamo wake thabiti na anatoa hoja zenye mashiko hatakwa rafiki yake Bashe japo walikuwa chuo kimoja mzumbe lkn wanqbishana kwa facts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…