Mpina anastakiwa kwa kuvunja sheria gani Kamati ya Maadili ya Bunge

juma30

Senior Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
159
Reaction score
459
NIMESOMA Maagizo ya Spika kwa Kamati inayokwenda kumhoji Mpina kwenye suala la tuhuma alizotoa dhidi ya Bashe kwenye skendo ya vibali vya sukari...watalaamu wa sheria tunaomba mtuletee mchanganuo wa Sheria alizotaja Spika kuwa Mpina amezivunja ili nasi tusiojua sheria tujue anakwenda kuhukumiwa kwa sheria gani?

View: https://youtu.be/yRM0eDzJnMI?si=GusPTRP-xRiSI0Hb
 
Tuhuma za kuludharau Binge siyo kitisho kwa usalama wa nchi ukilinganisha na tuhuma nzito Sana za kuunda genge na kupanga njama za kuhujumu uchumi na kuhujumu wananchi wake. Waadhibiwe kwanza hao Mawaziri Wahujumu Uchumi wa nchi kisha afuate huyo Mbunge anayetuhumiwa kulidharau Bunge
 
Back
Top Bottom