peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hawezi Fukuzwa.Lazima atafukuzwa kwenye chama
Nakushauri uwe unaandika Kiswahili, Kingereza siyo Kihehe kaka!Most of what he is claiming do not make sense hence his logics are utterly flowed... its difficult to trust his integrity
CCM haitaki mtu mkweli hata dak 1Hawezi Fukuzwa.
Mind you Kuna wakati hata saa mbofu inasema kweliMost of what he is claiming do not make sense hence his logics are utterly flawed... its difficult to trust his integrity
KWa sababu chama kipo kwaajili ya kulinda ubadhirifu?Lazima atafukuzwa kwenye chama
Kwani wewe hujui?KWa sababu chama kipo kwaajili ya kulinda ubadhirifu?
Tatizo jamaa huwa anaweka figure ambazo hazina uhalisia. Ni kama zile za Prof Mruma wa madini wakati ule, exaggeratingMind you Kuna wakati hata saa mbofu inasema kweli