Mpina anatoa taarifa ya ufisadi wa kutisha, "Wanaohusika wakamatwe, wamefanya ubadhirifu

Mpina anatoa taarifa ya ufisadi wa kutisha, "Wanaohusika wakamatwe, wamefanya ubadhirifu

Most of what he is claiming do not make sense hence his logics are utterly flawed... its difficult to trust his integrity
Hapana he is right, hiyo kwa namna nyingine ile hela ilikuwa ilipwe serikalini kuna watu wamekula percent yao tayari, huwezi kuongexa muda wakati kwenye mkataba kuna kipengele kuhusu muda na penalty zake, ni wizi straight away
 
The cabinet,government ,and executives wholistically are swindling the national resources for their personal privileges ,nobody cares!!!!!!!! Too bullish when you point them to the truth,too mundane
 
The cabinet,government ,and executives wholistically are swindling the national resources for their personal privileges ,nobody cares!!!!!!!! Too bullish when you point them to the truth,too mundane
Takukuru wanahangaika na rushwa za walimu na mahakimu wa primary court, kwenye mambo haya za rushwa kubwa huwasikii
 
Our parliament, members of the cabinet and the entire gov't is toothless, powerless and ineffective. Who's going to be held accountable for squandering public resources?
Hapo inatakiwa kujua nini chanzo cha tatizo linalopelekea Serikali na Bunge kukosa "MENO"!, na ni nani aliyeyang'oa! 😆
 
""MAROPE AND MR. BEAN"
""MAROPE AND MR. BEAN"
""MAROPE AND MR. BEAN"
GOD BLESS TANZANIA
GOD BLESS HUGE APARTMENT BUILT AT KIFURU,
GOD BLESS TOZONIA.
-HALI NI MBAYA KWA AFYA YA CHAMA, ILI KUKITAKASA BAADHI NI LAZIMA WAWAJIBISHWE -
 
Most of what he is claiming do not make sense hence his logics are utterly flawed... its difficult to trust his integrity
If most of his claims don't make sense; what about a few which makes sense?

Mind you; you didn't say all of his claims don't make sense.
 
Huu utawala usipoondolewa 2025 na uchaguzi mkuu, ukiendelea hadi 2030 nchi itakuwa imefilisika na wananchi watakuwa omba omba!

Wanaiba Kwa speed kubwa ni ccm walioko Serikalini na Serikali walioko ccm!
 
If most of his claims don't make sense; what about a few which makes sense?

Mind you; you didn't say all of his claims don't make sense.
Logics nullifies those few that make sense since overall it proves that his integrity is questionable
 
Logics nullifies those few that make sense since overall it proves that his integrity is questionable
You can't use logic to dissuade someone who didn't use the same logic to reach their viewpoint in the first place.

Therefore stop reasoning him out of a position he didn't reason himself into.
 
Haya
 
Attachments

  • 45C9D622-71F7-4287-A728-F351936140E8.jpeg
    45C9D622-71F7-4287-A728-F351936140E8.jpeg
    100.8 KB · Views: 1
  • CB921873-1FA7-4E4D-A796-C19E45B0FC6F.jpeg
    CB921873-1FA7-4E4D-A796-C19E45B0FC6F.jpeg
    34.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom