Mpina anatoa taarifa ya ufisadi wa kutisha, "Wanaohusika wakamatwe, wamefanya ubadhirifu

Halafu kuna wanafunzi kibao wamekosa mikopo kwenda vyuo vikuu, hawa majizi wanafisadi matrilioni na hakuna cha kuwafanya.
 
Takukuru wanahangaika na rushwa za walimu na mahakimu wa primary court, kwenye mambo haya za rushwa kubwa huwasikii
Takukuru hadi waambiwe fanyeni...
Ndo yanaamsha matackle....

Pmbavu
 
Hapana he is right, hiyo kwa namna nyingine ile hela ilikuwa ilipwe serikalini kuna watu wamekula percent yao tayari, huwezi kuongexa muda wakati kwenye mkataba kuna kipengele kuhusu muda na penalty zake, ni wizi straight away
Kutokudai pesa na kuiba pesa ni vitu viwili tofauti angesema hasara sio ufisadi... yaani billion 300 haijalipwa ni sawa na billion 300 imeliwa? Mpina is delusional.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax

zitto junia🀣
 
zitto junia🀣
Mkuu sio utani, mpina kasema Trillion 60 zimeiwa eti kisa trillion 30 za mapato na trillion 30 za matumiz hivi unaweza tumia ambacho hujakusanya? This man is delusional .
 
Sina usahihi wa kiwango stahiki, labda niulize swali ni kweli kuna hela inabidi tulipwe according na makubaliano?

Maana haya makampuni yakifika kutudai sisi hua hayalembi
 
Kutokudai pesa na kuiba pesa ni vitu viwili tofauti angesema hasara sio ufisadi... yaani billion 300 haijalipwa ni sawa na billion 300 imeliwa? Mpina is delusional.
Hapana kama serikali ilitakiwa kupata pesa according to mkataba , wewe ukapindisha makusudi kwa kutoa msamaha , je alitoa huo msamaha kwa faida ya nani? Kuna mazingira ya rushwa black and white, lazima kapewa hela akaamua makusudi serikali isipate ili iingie mifukoni kwao
 
Sina usahihi wa kiwango stahiki, labda niulize swali ni kweli kuna hela inabidi tulipwe according na makubaliano?

Maana haya makampuni yakifika kutudai sisi hua hayalembi
Yeah hizo ni fine mfano Mradi wa BRT ya mbagala umechelewa kukabidhiwa so kisheria kama muda waliopewa umevuka wanapaswa kulipa say 10 percent ya gharama za mradi wote ili kufidia hasara za kuchelewesha mradi. Sasa hiyo kama haijalipwa unasemaje imeibwa yaani unahesabu billion 10 zimelbiwa au HAZIJALIPWA??
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Hapana kama serikali ilitakiwa kupata pesa according to mkataba , wewe ukapindisha makusudi kwa kutoa msamaha , je alitoa huo msamaha kwa faida ya nani? Kuna mazingira ya rushwa black and white, lazima kapewa hela akaamua makusudi serikali isipate ili iingie mifukoni kwao
Eeh sasa hiyo ni RUSHWA sio BILLION 300 imeliwa.... mtu kahongwa million 500 asamehe deni sasa hiyo billion 300 imeliwa na nani wakati haijalipwa coz of rushwa?
 
Yeah hizo ni fine mfano Mradi wa BRT ya mbagala umechelewa kukabidhiwa so kisheria kama muda waliopewa umevuka wanapaswa kulipa say 10 percent ya gharama za mradi wote ili kufidia hasara za kuchelewesha mradi. Sasa hiyo kama haijalipwa unasemaje imeibwa yaani unahesabu billion 10 zimelbiwa au HAZIJALIPWA??
Hapo ninekupata hatua za kuwadai zianze mara moja sasa

View: https://x.com/eastafricatv/status/1721512615493480729?s=20

Ili nasisi tupunguze hii mikopo maana tuna hela zipo hewani
 
Ingekuwa mkandarasi tumemkosea kwenye mkataba angetuachia hiyo pesa? Si angetupeleka hadi mahakama za kimataifa za biashara, mambo ya hovyo kama haya inafanya nchi inazidi kuwa masikini, watu wachache wanaiba pesa nyingi ila kwenye madeni tunalipishwa wote
 
Hapo ninekupata hatua za kuwadai zianze mara moja sasa

View: https://x.com/eastafricatv/status/1721512615493480729?s=20

Ili nasisi tupunguze hii mikopo maana tuna hela zipo hewani

Tatizo ni kwamba serikali pia hailipi madeni mfano wakandarasi na suppliers kibao wanatoa huduma ila malipo wanapigwa kalenda.... imagine Tanesco ilikua inaidai serikali ya zenji mabilion let alone NSSF inaidai serikali zaidi ya 2 trillion sasa kama hatuna culture ya kuheshimu madeni ni ngumu sana kudai kwa ujasiri.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom