Hapana he is right, hiyo kwa namna nyingine ile hela ilikuwa ilipwe serikalini kuna watu wamekula percent yao tayari, huwezi kuongexa muda wakati kwenye mkataba kuna kipengele kuhusu muda na penalty zake, ni wizi straight awayMost of what he is claiming do not make sense hence his logics are utterly flawed... its difficult to trust his integrity
Takukuru wanahangaika na rushwa za walimu na mahakimu wa primary court, kwenye mambo haya za rushwa kubwa huwasikiiThe cabinet,government ,and executives wholistically are swindling the national resources for their personal privileges ,nobody cares!!!!!!!! Too bullish when you point them to the truth,too mundane
Ngoja nipitie dictionary nitarudi.Most of what he is claiming do not make sense hence his logics are utterly flawed... its difficult to trust his integrity
Hapo inatakiwa kujua nini chanzo cha tatizo linalopelekea Serikali na Bunge kukosa "MENO"!, na ni nani aliyeyang'oa! 😆Our parliament, members of the cabinet and the entire gov't is toothless, powerless and ineffective. Who's going to be held accountable for squandering public resources?
To hell with your broken English!Most of what he is claiming do not make sense hence his logics are utterly flawed... its difficult to trust his integrity
Google translate inafanya maisha yanakuwa mepesi chief🤣🤣🤣Nakushauri uwe unaandika Kiswahili, Kingereza siyo Kihehe kaka!
Ogapa sana wahuni wanao vaa suti na taiCCM wahuni tu hawa
If most of his claims don't make sense; what about a few which makes sense?Most of what he is claiming do not make sense hence his logics are utterly flawed... its difficult to trust his integrity
Serikali kama hii imejaa wala rushwa tupuBahati mbaya sana watu kama hawa huonekana kama hawatakiwi kuishi.
Kuwa mkweli kwenye nchi za kipigaji na kinafiki kama hizi za ki-Africa ni mtihani mkubwa Mungu amlinde jamaa.
Logics nullifies those few that make sense since overall it proves that his integrity is questionableIf most of his claims don't make sense; what about a few which makes sense?
Mind you; you didn't say all of his claims don't make sense.
You can't use logic to dissuade someone who didn't use the same logic to reach their viewpoint in the first place.Logics nullifies those few that make sense since overall it proves that his integrity is questionable
Saaana sana sanaOgapa sana wahuni wanao vaa suti na tai