Tetesi: Mpina atapata adhabu kali kwa sababu hili ni Bunge la Chama kimoja

Tetesi: Mpina atapata adhabu kali kwa sababu hili ni Bunge la Chama kimoja

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali.

Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu.

Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge hili limebakiza mwaka mmoja tu.

Ngoja tuone

Mlale Unono 😃🐼

PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili

- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge
 
Uzuri hata yeye anajua kinachofuata,


Alichotaka ni angalau umma ujue wizi unaofanyika Serikalini sababu angekabidhi TU kwa Spika akarudi zake Kisesa ingefichwa kabatini labda ingekuja kusomwa siku Yesu ananyakua walio wake.
 
Katika mawaziri yaani nikionaga picha zao tayari akili yangu uwa inajikita kwenye Mambo ya wizi wizi ni Makamba,Bashe na Mwiguru....hawa jamaa sjui kwa nn mpka leo mama anawakumbatia kiasi hichi?
Unauliza kweli hili swali? Tafakari kwa kina na jiulize kwanini
 
Mpina yuko salama sana, kila nikitazama future yake kama mwanasiasa namuona ameshajijengea heshima kubwa kwa wakati huu.

Mpina tayari ni shujaa miongoni mwetu, lakini isipokuwa kwa wachawi wachache sana, hii Tanganyika ya sasa sio ya wajinga ni ya werevu, wanauona werevu wa Mpina na ujinga wa Tulia na Samia, hawayumbishwi.

Namuheshimu sana Mpina, ameyaweka rehani maslahi yake yote kisiasa kwaajili ya kuipigania Tanganyika na rasiliamali zake, kumpigania mtanganyika na kodi na tozo zake, kumnyooshea kidole huyu ni dalili ya kwanza ya uchawi.

Napoona mtu kama Mwigulu akipiga makofi kwa nguvu kushangilia hatua aliyochukuliwa Mpina na Dr. Tulia, nazidi kupata nguvu za kusimama na Mpina, bungeni kuna blood suckers wasiojali chochote kuhusu hali ya mtanganyika, kama yule shetani aliyewahi kutuambia tuhamie Burundi.
 
Nioneshe marafiki zako nijue tabia yako. Marafiki wa SSH wana akisi tabia yake nyuma ya pazia.

Pamoja na kupangua sana waandamizi kule kwenye zile taasisi za naniliu lakini bado nasema yatakuwa maajabu kama chama kitampitisha hiyo 2025. Acha aendelee kukimbiza vivuli.
 
taasisi kuongozwa na mwanamke inaleta shida pale inapotingishwa...utasikia kwa kuwa ni mwanamke ndio maana tunaonewa oooh tunadharauliwa!!!...yaani kuna watu wanataka waongoze tuwe kama tunaongozwa na yai....haiwezekani hiiii. Waache kulia lia wapige kazi
 
Wapinzani wanaomba usiku na mchana pale CCM itakapojichanganya wakampa adhabu mpina, wananchi wa Jimbo lake watamfuta kokote atakapoenda.

CCM isikubali kuingia kwenye mtego wa mpina hata Yule spika atumie Akili kubwa Sana juu ya sakata hili vinginevyo na yeye ataingia kwenye shida kubwa ya kashfa ya ufosadi
 
Back
Top Bottom