Tetesi: Mpina atapata adhabu kali kwa sababu hili ni Bunge la Chama kimoja

Tetesi: Mpina atapata adhabu kali kwa sababu hili ni Bunge la Chama kimoja

""""MPINA ANAFUKUZWA ALIMRADI UOVU UNALINDWA KWA UMAKINI WOTE"""
°Waovu hulindana--
 
Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali.

Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu.

Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge hili limebakiza mwaka mmoja tu.

Ngoja tuone

Mlale Unono 😃🐼

PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili

- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge
Wamchomoe waone CCM inavyopasuka!! Robo tatu ya wanachama wa CCM wapo nyuma ya Mpina!!

Jaribuni muone kama hamtaishia kutoa Fomu mbili 2025 Ili kukinusuru chama
 
Back
Top Bottom