Tetesi: Mpina atapata adhabu kali kwa sababu hili ni Bunge la Chama kimoja

Huwezi kupambana na Shetani ukaweza ukiwa kwenye ngome yake!
Unapambanaje na serikali ya CCM ukiwa ndani ya CCM?
Hapo utakuwa unajitoa sadaka mwenyewe!
 
Hapa kwa namna nyingine ni kama unasema usalama wa taifa wameamua kutuachia wananchi wenyewe tuamue juu ya huu ufisadi unaofanywa na Samia akishirikiana na mtoto wake.
 
Hapa kwa namna nyingine ni kama unasema usalama wa taifa wameamua kutuachia wananchi wenyewe tuamue juu ya huu ufisadi unaofanywa na Samia akishirikiana na mtoto wake.
Probably, Mpina awezi kuwa info zote zile bila ya msaada,

Inaweza hata kuwa onyo kwa spika, sema hana weledi wa kuelewa baada ya kulewa madaraka.

Kwa Tanzania mtu kama Tulia awezi rushwa juu vile kiharaka sema baadae wanajisahau.
 
Everything is so clear, madudu haya, deeply inner infos! /
AACHIE NGAZI, KUEPUSHA MENGI YA HOVYO!
 
Kwa Serikali yoyote ile ILIYOFITINIKA SANA, mambo Kama haya ni kawaida kutokea.
 
Hata wakimfukuza uanachama ni adhabu nzuri zaidi kwake. Wazalendo muwasogeze karibu zaidi na wananchi.
Fukuzeni watu wote makini. Kiwe chama rasmi cha mafisadi, wala rushwa, wazembe, na majambazi. Nani mwingine ana mvuto, uthubutu, seriousness.

Namuona Jerry Slaa, Makonda, Mtaka, wanajitahidi kidogo.
 
Hivi eeh,maskin wee.tena huyu wa kwetu nyie mnakosea jina sio luhaga ni luhangaa maaana yake wa mwanzo mwanzoo na pinaaa mtoto anayejitegemea. Mnyantuzu kabisa huyu.mang'weshi wijagalula mayoo,
 
Kwa ujinga na Upumbavu tulio nao... Nafuu tuikubali akili bandia AI labda itasadia kidogo aisee...
 
😂😂😂😂
Hivi wanamjua Mama yake Luhaga Hao Kamati ya maadili?
 
Hivi eeh,maskin wee.tena huyu wa kwetu nyie mnakosea jina sio luhaga ni luhangaa maaana yake wa mwanzo mwanzoo na pinaaa mtoto anayejitegemea. Mnyantuzu kabisa huyu.mang'weshi wijagalula mayoo,
Kuna kipindi cha kampeni mwaka 2015 jamaa alipiga kampeni mwezi mzima Bila kuoga wala kubadilisha nguo
 
Hizo ni taarifa za ndani, na ndiyo mfumo wa CCM kuondoa wakosoaji ndani ya chama.
 
Ndio kwa wachache wasiojua wajue, adui mkubwa wa maendeleo hili ni hawa TULIOWAKABIDHI NCHI, ikitokea mtu akazungumza kwa maslahi ya watanzania basi kwao anageuka kuwa adui.
Ripoti ya CAG ina madudu chungu nzima lakini hakuna hatua inachukuliwa ya maana, maana yake wao lengo lao ni kuitafuna nchi tu.

Tunapaswa kuamka kuondoa huu upuuzi.
 
Sisiem wanaenda kumtengeneza mpinzani wao wenyewe, na atakua mwenye nguvu na ataaminiwa na wananchi.
Hapa namuona
Job
Mpina
Bashiru
Polepole
Makonda
List is loading......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…