A Akasankara JF-Expert Member Joined Feb 28, 2015 Posts 4,210 Reaction score 5,752 Jun 21, 2024 #61 Mdee hana chama ila ni mbunge. Only in Tz
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Jun 21, 2024 #62 """"MPINA ANAFUKUZWA ALIMRADI UOVU UNALINDWA KWA UMAKINI WOTE""" °Waovu hulindana--
M Makojo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 4,403 Reaction score 5,392 Jun 21, 2024 #63 johnthebaptist said: Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali. Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu. Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge hili limebakiza mwaka mmoja tu. Ngoja tuone Mlale Unono 😃🐼 PIA SOMA - Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili - Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge Click to expand... Wamchomoe waone CCM inavyopasuka!! Robo tatu ya wanachama wa CCM wapo nyuma ya Mpina!! Jaribuni muone kama hamtaishia kutoa Fomu mbili 2025 Ili kukinusuru chama
johnthebaptist said: Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali. Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu. Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge hili limebakiza mwaka mmoja tu. Ngoja tuone Mlale Unono 😃🐼 PIA SOMA - Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili - Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge Click to expand... Wamchomoe waone CCM inavyopasuka!! Robo tatu ya wanachama wa CCM wapo nyuma ya Mpina!! Jaribuni muone kama hamtaishia kutoa Fomu mbili 2025 Ili kukinusuru chama