econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Hawatakujibu hili.Wameukimbia uzi,nyumbu
Nyumbu ni wewe binafsi mwenye matatizo ya akili.
Hawatakujibu hili.Wameukimbia uzi,nyumbu
Ila umeshindwa kumuelewa Dkt Malisa?Mimi nimemkubali sana huyu Mwanachama Monalisa kwa kuhakikisha misingi ya chama cha ACT WAZALENDO inazingatiwa na kutekelezwa.
Akidi na utaratibu alioutumia Samia na genge lake la Msoga ilitimia mwezi January?Yupo imara kama wale wa Chadema walioenda mahakamani kudai Chadema Bara wanawanyonya Chadema Zanzibar na yule mwingine wa Chadema aliyedai akidi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya
Hata sisi tunapenda demokrasia ila msajili ni kada wa CCM hivyo reforms za tume isiyo huru hadi ofisi ya msajili?Chadema haikutimia kuwachagua akina Mnyika na Amani Golugwa kuwa Viongozi wa Chadema. Hiki ndicho tunachotaka sisi wapenda demokrasia ya kweli! Ahahahahaha!!!
Umemsahau Malisa wa ccm aliyeenda kulifungulia kesi jishangazi kwa kujipitisha kinyemela.Mimi nimemkubali sana huyu Mwanachama Monalisa kwa kuhakikisha misingi ya chama cha ACT WAZALENDO inazingatiwa na kutekelezwa. Yupo imara kama wale wa Chadema walioenda mahakamani kudai Chadema Bara wanawanyonya Chadema Zanzibar na yule mwingine wa Chadema aliyedai akidi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema haikutimia kuwachagua akina Mnyika na Amani Golugwa kuwa Viongozi wa Chadema. Hiki ndicho tunachotaka sisi wapenda demokrasia ya kweli! Ahahahahaha!!!
Usimsahau yule kada wa CCM mzee Malisa aliyeiburuza CCM mahakamani kupinga uteuzi wa mgombea urais wa ccm.Mimi nimemkubali sana huyu Mwanachama Monalisa kwa kuhakikisha misingi ya chama cha ACT WAZALENDO inazingatiwa na kutekelezwa. Yupo imara kama wale wa Chadema walioenda mahakamani kudai Chadema Bara wanawanyonya Chadema Zanzibar na yule mwingine wa Chadema aliyedai akidi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema haikutimia kuwachagua akina Mnyika na Amani Golugwa kuwa Viongozi wa Chadema. Hiki ndicho tunachotaka sisi wapenda demokrasia ya kweli! Ahahahahaha!!!
Sitashangaa pingamizi hilo likikubaliwa kwa sababu ametubagaza mno janaMjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, Monalisa Ndala amepinga uamuzi wa chama hicho, kumteua Luhaga Mpina kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, akidai amekosa sifa.
Kada huyo amedai kanuni za chama hicho, zimekiukwa katika uteuzi wa Mpina, kinyume na taratibu na sheria ya uchaguzi inayoelekeza mtia nia anayependekezwa na chama cha siasa, kukidhi taratibu za kimchakato za ndani za chama husika.
Kutokana na hilo, jana terehe 14 Monalisa amemuandikia barua Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu akimtaarifu kwamba Mpina hajakidhi kanuni za kudumu za uendeshaji wa hicho, toleo la mwaka 2015.
Katika barua hiyo, Monalisa amesema vipengele kadhaa vya kanuni namba 16 inayozungumzia sifa za mgombea ndani ya chama na wanaomba kuteuliwa kugombea ACT Wazalendo, vimekiukwa.
Soma Pia: Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025
Akinukuu vipengele hivyo, Monalisa amesema,“Kanuni namba 16(4) mgombea urais / viongozi wa chama ngazi ya Taifa, lazima awe mwanachama wa ACT Wazalendo kwa muda usiopungua mwezi mmoja kabla ya tarehe ya mwisho ya uteuzi ya mgombea wa chama,”
Ameongeza kuwa, “Mgombea wetu aliyejiunga siku mbili kabla ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais baada ya kuenguliwa kuwania ubunge kwa chama chake cha zamani [CCM] Julai 28, 2025,” ameeleza Monalisa ambaye ni mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam.
Aidha Monalisa ameendelea kusema kuwa Mpina amepingana na kanuni namba16 (4) (iii) inayosema awe tayari kutangaza mali binafsi na vyanzo binafsi kabla ya kuteuliwa kugombea kwa kufuata utaratibu ulioanishwa sehemu ya (vii) ya nyongeza ya Katiba ya ACT Wazalendo.
“Kwa bahati mbaya au makusudi mgombea wetu amevunja kanuni hii kwa kuwa hadi anatangazwa kuteuliwa kuwa mgombea, hakuna pahala popote ameonyesha kutangaza mali zake,” amefafanua Monalisa katika barua hiyo ambayo nakala imeenda Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC).
Katika barua hiyo, Monalisa amedai kuwa Mpina amekiuka kanuni muhimu namba 16 (4) (iv)inayomuhitaji kuelewa itikadi, falsafa, misingi na sera za ACT Wazalendo kama inayosomea ‘awe ni mtu aliyethibitika kuielewa itikadi, falsafa, misingi na sera za ACT Wazalendo
USSR
Kesi siinaendelea? Tatizo lipo wapi? Na hilo jishangazi linakuendesha wewe, mamaako, babaako, Lissu na kila mbwa inayofikiri inaweza kuiondoa Serikali ya CCM madarakani.Umemsahau Malisa wa ccm aliyeenda kulifungulia kesi jishangazi kwa kujipitisha kinyemela.
ACT msifanye makosa kama yanayofanywa na CHADEMA.Ukipindisha kidogo tu sheria inakula kwenuMjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, Monalisa Ndala amepinga uamuzi wa chama hicho, kumteua Luhaga Mpina kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, akidai amekosa sifa.
Kada huyo amedai kanuni za chama hicho, zimekiukwa katika uteuzi wa Mpina, kinyume na taratibu na sheria ya uchaguzi inayoelekeza mtia nia anayependekezwa na chama cha siasa, kukidhi taratibu za kimchakato za ndani za chama husika.
Kutokana na hilo, jana terehe 14 Monalisa amemuandikia barua Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu akimtaarifu kwamba Mpina hajakidhi kanuni za kudumu za uendeshaji wa hicho, toleo la mwaka 2015.
Katika barua hiyo, Monalisa amesema vipengele kadhaa vya kanuni namba 16 inayozungumzia sifa za mgombea ndani ya chama na wanaomba kuteuliwa kugombea ACT Wazalendo, vimekiukwa.
Soma Pia: Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025
Akinukuu vipengele hivyo, Monalisa amesema,“Kanuni namba 16(4) mgombea urais / viongozi wa chama ngazi ya Taifa, lazima awe mwanachama wa ACT Wazalendo kwa muda usiopungua mwezi mmoja kabla ya tarehe ya mwisho ya uteuzi ya mgombea wa chama,”
Ameongeza kuwa, “Mgombea wetu aliyejiunga siku mbili kabla ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais baada ya kuenguliwa kuwania ubunge kwa chama chake cha zamani [CCM] Julai 28, 2025,” ameeleza Monalisa ambaye ni mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam.
Aidha Monalisa ameendelea kusema kuwa Mpina amepingana na kanuni namba16 (4) (iii) inayosema awe tayari kutangaza mali binafsi na vyanzo binafsi kabla ya kuteuliwa kugombea kwa kufuata utaratibu ulioanishwa sehemu ya (vii) ya nyongeza ya Katiba ya ACT Wazalendo.
“Kwa bahati mbaya au makusudi mgombea wetu amevunja kanuni hii kwa kuwa hadi anatangazwa kuteuliwa kuwa mgombea, hakuna pahala popote ameonyesha kutangaza mali zake,” amefafanua Monalisa katika barua hiyo ambayo nakala imeenda Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC).
Katika barua hiyo, Monalisa amedai kuwa Mpina amekiuka kanuni muhimu namba 16 (4) (iv)inayomuhitaji kuelewa itikadi, falsafa, misingi na sera za ACT Wazalendo kama inayosomea ‘awe ni mtu aliyethibitika kuielewa itikadi, falsafa, misingi na sera za ACT Wazalendo
USSR
Sheria za chama wanashindwa kuzofuata tukiwapa dola sheria za nchi sidhani kama wataziheshimuMimi nimemkubali sana huyu Mwanachama Monalisa kwa kuhakikisha misingi ya chama cha ACT WAZALENDO inazingatiwa na kutekelezwa. Yupo imara kama wale wa Chadema walioenda mahakamani kudai Chadema Bara wanawanyonya Chadema Zanzibar na yule mwingine wa Chadema aliyedai akidi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema haikutimia kuwachagua akina Mnyika na Amani Golugwa kuwa Viongozi wa Chadema. Hiki ndicho tunachotaka sisi wapenda demokrasia ya kweli! Ahahahahaha!!!
Hamna kesi pale ni kupotezeana muda. Kama jishangazi lina nguvu hiyo, liambie likae mbele na familia yake bila polis kisha ulete mrejesho.Kesi siinaendelea? Tatizo lipo wapi? Na hilo jishangazi linakuendesha wewe, mamaako, babaako, Lissu na kila mbwa inayofikiri inaweza kuiondoa Serikali ya CCM madarakani.
Aanze kumuwekea pingamizi Chura Kiziwi kwanza. Maana mchakato wa ndani ya chama haukufuatwa.Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, Monalisa Ndala amepinga uamuzi wa chama hicho, kumteua Luhaga Mpina kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, akidai amekosa sifa.
Kada huyo amedai kanuni za chama hicho, zimekiukwa katika uteuzi wa Mpina, kinyume na taratibu na sheria ya uchaguzi inayoelekeza mtia nia anayependekezwa na chama cha siasa, kukidhi taratibu za kimchakato za ndani za chama husika.
Kutokana na hilo, jana terehe 14 Monalisa amemuandikia barua Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu akimtaarifu kwamba Mpina hajakidhi kanuni za kudumu za uendeshaji wa hicho, toleo la mwaka 2015.
Katika barua hiyo, Monalisa amesema vipengele kadhaa vya kanuni namba 16 inayozungumzia sifa za mgombea ndani ya chama na wanaomba kuteuliwa kugombea ACT Wazalendo, vimekiukwa.
Soma Pia: Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025
Akinukuu vipengele hivyo, Monalisa amesema,“Kanuni namba 16(4) mgombea urais / viongozi wa chama ngazi ya Taifa, lazima awe mwanachama wa ACT Wazalendo kwa muda usiopungua mwezi mmoja kabla ya tarehe ya mwisho ya uteuzi ya mgombea wa chama,”
Ameongeza kuwa, “Mgombea wetu aliyejiunga siku mbili kabla ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais baada ya kuenguliwa kuwania ubunge kwa chama chake cha zamani [CCM] Julai 28, 2025,” ameeleza Monalisa ambaye ni mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam.
Aidha Monalisa ameendelea kusema kuwa Mpina amepingana na kanuni namba16 (4) (iii) inayosema awe tayari kutangaza mali binafsi na vyanzo binafsi kabla ya kuteuliwa kugombea kwa kufuata utaratibu ulioanishwa sehemu ya (vii) ya nyongeza ya Katiba ya ACT Wazalendo.
“Kwa bahati mbaya au makusudi mgombea wetu amevunja kanuni hii kwa kuwa hadi anatangazwa kuteuliwa kuwa mgombea, hakuna pahala popote ameonyesha kutangaza mali zake,” amefafanua Monalisa katika barua hiyo ambayo nakala imeenda Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC).
Katika barua hiyo, Monalisa amedai kuwa Mpina amekiuka kanuni muhimu namba 16 (4) (iv)inayomuhitaji kuelewa itikadi, falsafa, misingi na sera za ACT Wazalendo kama inayosomea ‘awe ni mtu aliyethibitika kuielewa itikadi, falsafa, misingi na sera za ACT Wazalendo
USSR
Nilisema hapa Mpina anaweza kuzidiwa na tamaa akautaka Kweli Urais 😂Wanamtandao wamenusa kitu kutoka Mpina? Hadi wanataka kumuondoa
Chadema walio susia uchaguzi na Act nani wapinzani wa kweli. Kiburi na dharau imeiuwa Chadema mmebki na chuki tu.Agizo la chama tawala (ACT) na mwendelezo wa drama zao za kujifanya wapinzani.
Wamemuona anautaka kweli ila wao walimtengeza kama ghost tu 😄Nilisema hapa Mpina anaweza kuzidiwa na tamaa akautaka Kweli Urais 😂
Hakuna kitu kama hicho kwani CCM wanaihitaji ACT katika kipindi hiki kuliko nyuma ili waisafishe kuonekana uchaguzi ulikuepo. Hapo kama angelikua mgombea wa CHadema ungeona barua ya msajiliKwa ninavyoijua ccm wanaweza kupitia ka kimemo haka haka na kumzuia mpina kwamba amekosa sifa Niko paleee huyo bibie katumwa na msajili
Ahahahahaha! Kwahiyo ninyi mnaogopa Polisi? Ahahahahaha!!Hamna kesi pale ni kupotezeana muda. Kama jishangazi lina nguvu hiyo, liambie likae mbele na familia yake bila polis kisha ulete mrejesho.