GE2025 Mpina awekewa pingamizi na mwanachama mwenza kugombea urais kupitia ACT WAZALENDO

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mimi nimemkubali sana huyu Mwanachama Monalisa kwa kuhakikisha misingi ya chama cha ACT WAZALENDO inazingatiwa na kutekelezwa.
Ila umeshindwa kumuelewa Dkt Malisa?
Yupo imara kama wale wa Chadema walioenda mahakamani kudai Chadema Bara wanawanyonya Chadema Zanzibar na yule mwingine wa Chadema aliyedai akidi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya
Akidi na utaratibu alioutumia Samia na genge lake la Msoga ilitimia mwezi January?

Zanzibar wana mali kiasi gani CHADEMA na bara zipo kiasi gani?

Msajili kwanini amevaa miwani ya mbao juu ya rafu zilizochezwa CCM.?
Chadema haikutimia kuwachagua akina Mnyika na Amani Golugwa kuwa Viongozi wa Chadema. Hiki ndicho tunachotaka sisi wapenda demokrasia ya kweli! Ahahahahaha!!!
Hata sisi tunapenda demokrasia ila msajili ni kada wa CCM hivyo reforms za tume isiyo huru hadi ofisi ya msajili?

Hadi sasa tumejua IGP Sirro aliyekuwepo 2020 na Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi walikuwa makada wa kijani waliojificha!

Na akidi za CCM kwa sasa zinasimamiwa na narcotic cartels nyie vidampa hamna cha kusema .
 
Umemsahau Malisa wa ccm aliyeenda kulifungulia kesi jishangazi kwa kujipitisha kinyemela.
 
Usimsahau yule kada wa CCM mzee Malisa aliyeiburuza CCM mahakamani kupinga uteuzi wa mgombea urais wa ccm.
 
Sitashangaa pingamizi hilo likikubaliwa kwa sababu ametubagaza mno jana
 
Umemsahau Malisa wa ccm aliyeenda kulifungulia kesi jishangazi kwa kujipitisha kinyemela.
Kesi siinaendelea? Tatizo lipo wapi? Na hilo jishangazi linakuendesha wewe, mamaako, babaako, Lissu na kila mbwa inayofikiri inaweza kuiondoa Serikali ya CCM madarakani.
 
ACT msifanye makosa kama yanayofanywa na CHADEMA.Ukipindisha kidogo tu sheria inakula kwenu
 
Sheria za chama wanashindwa kuzofuata tukiwapa dola sheria za nchi sidhani kama wataziheshimu
 
Kesi siinaendelea? Tatizo lipo wapi? Na hilo jishangazi linakuendesha wewe, mamaako, babaako, Lissu na kila mbwa inayofikiri inaweza kuiondoa Serikali ya CCM madarakani.
Hamna kesi pale ni kupotezeana muda. Kama jishangazi lina nguvu hiyo, liambie likae mbele na familia yake bila polis kisha ulete mrejesho.
 
Aanze kumuwekea pingamizi Chura Kiziwi kwanza. Maana mchakato wa ndani ya chama haukufuatwa.
 
Agizo la chama tawala (ACT) na mwendelezo wa drama zao za kujifanya wapinzani.
Chadema walio susia uchaguzi na Act nani wapinzani wa kweli. Kiburi na dharau imeiuwa Chadema mmebki na chuki tu.
 
Kwa ninavyoijua ccm wanaweza kupitia ka kimemo haka haka na kumzuia mpina kwamba amekosa sifa Niko paleee huyo bibie katumwa na msajili
Hakuna kitu kama hicho kwani CCM wanaihitaji ACT katika kipindi hiki kuliko nyuma ili waisafishe kuonekana uchaguzi ulikuepo. Hapo kama angelikua mgombea wa CHadema ungeona barua ya msajili
 
Hamna kesi pale ni kupotezeana muda. Kama jishangazi lina nguvu hiyo, liambie likae mbele na familia yake bila polis kisha ulete mrejesho.
Ahahahahaha! Kwahiyo ninyi mnaogopa Polisi? Ahahahahaha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…