Hawana madhara, hiyo ni michezo yao wanajuana hawa, Lissu anawapelekea moto wa gesi .Wanadunda tu mtaani
Juzi tu Gwajima na Mpina wamelipwa mafao ya mamilioni ya ubunge
Wanalindwa na CCM
Wanakula CCM
Wanalala CCM
Wanaishi ndani ya CCM
Lakini Wala hawakamatwi kubambikiwa kesi why ?
Lissu alifanya Nini special mpaka kupewa kesi? What's wrong with Samia ?
Samia Kama kweli Hawa ni wapinzania wako wakamate waweke ndani ?
Gwajima na Polepole wote wapo wilaya ya kinondoni Dar es salaam
Kama huwakamati nitajilidhisha unashirikiana nao.
Mkuu elewa tu, tofauti za maono ndani ya CCM si uhaini.Wanadunda tu mtaani
Juzi tu Gwajima na Mpina wamelipwa mafao ya mamilioni ya ubunge
Wanalindwa na CCM
Wanakula CCM
Wanalala CCM
Wanaishi ndani ya CCM
Lakini Wala hawakamatwi kubambikiwa kesi why ?
Lissu alifanya Nini special mpaka kupewa kesi? What's wrong with Samia ?
Samia Kama kweli Hawa ni wapinzania wako wakamate waweke ndani ?
Gwajima na Polepole wote wapo wilaya ya kinondoni Dar es salaam
Kama huwakamati nitajilidhisha unashirikiana nao.
Ana poa tu huko aliko!!Polepole yuko wapi 😄
Ova
Tuambie wakikamatwa wewe utapata nini?Wanadunda tu mtaani
Juzi tu Gwajima na Mpina wamelipwa mafao ya mamilioni ya ubunge
Wanalindwa na CCM
Wanakula CCM
Wanalala CCM
Wanaishi ndani ya CCM
Lakini Wala hawakamatwi kubambikiwa kesi why ?
Lissu alifanya Nini special mpaka kupewa kesi? What's wrong with Samia ?
Samia Kama kweli Hawa ni wapinzania wako wakamate waweke ndani ?
Gwajima na Polepole wote wapo wilaya ya kinondoni Dar es salaam
Kama huwakamati nitajilidhisha unashirikiana nao.
Kweli tupu.anayoongea Pole pole na Mpina ni uhaini mtupu.Wanadunda tu mtaani
Juzi tu Gwajima na Mpina wamelipwa mafao ya mamilioni ya ubunge
Wanalindwa na CCM
Wanakula CCM
Wanalala CCM
Wanaishi ndani ya CCM
Lakini Wala hawakamatwi kubambikiwa kesi why ?
Lissu alifanya Nini special mpaka kupewa kesi? What's wrong with Samia ?
Samia Kama kweli Hawa ni wapinzania wako wakamate waweke ndani ?
Gwajima na Polepole wote wapo wilaya ya kinondoni Dar es salaam
Kama huwakamati nitajilidhisha unashirikiana nao.
Samia Kama kweli Hawa ni wapinzania wako wakamate waweke ndani ?
Gwajima na Polepole wote wapo wilaya ya kinondoni Dar es salaam
Kama huwakamati nitajilidhisha unashirikiana nao.
Hawana madhara, hiyo ni michezo yao wanajuana hawa, Lissu anawapelekea moto wa gesi .
Hawa ni project ya mzanzibar
We hujui?
Hao ni project ya CCM kuwapumbaza wadanganyika na kuwaondoa kwenye hoja za msingi hasa No Reforms No Elections