🤣🤣🤣Mpina alishindwa kusimama Mpini ulisimama.
Mpina si chawa wala Zwazwa wala mchumia tumbo.Alishangilia mpaka akachoka
Kuna chenga moja wa mwili Mama Samia kawapiga sukuma gang aisee hawaamini kilichotokea Dodoma.Wakuu,
Mpina hapa alipigwa na kitu kizito, hakuamini alichokuwa anakisikia.
Kama vile alitaka awe anaota, hajaelewa kabisa kuhusu mama ake Lucas Mwashambwa kupitishwa kugombea Urais 2025.
Sa itakuaje?
View attachment 3206927
Unadhani nini kilikuwa kinapita kichwani kwake muda huo? Nani alikuwa azimio lake? Au na yeye alitaka kuchukua fomu kumchalenji mama?
Mpymbavu ni wewe.mbunge anachaguliwa na wananchi na hawezi kufukuzwa na huyo samiaMpina ni mpumbavu sana, namshauri mama amkate kwenye ubunge
Mpina ndo nadhani mmoja ya wanaume wachache waliobaki ndani ya CCM. Nyie aina yenu mnatikisa tu makalio kama hivyo. Wanaume huwa hatuna ashk majinuni sheikh wangu.Mpina ni mpumbavu sana, namshauri mama amkate kwenye ubunge
Mzungumzie na huyo mama kulia kwakeUnadhani nini kilikuwa kinapita kichwani kwake muda huo? Nani alikuwa azimio lake? Au na yeye alitaka kuchukua fomu kumchalenji mama?
HAzina ya watu msingemteua mzee wa miaka 100 kuwa makamu mwenyekitiKama anataka aondoke CCM maana CCM ina hazina ya watu
Yuko too slowWakuu,
Mpina hapa alipigwa na kitu kizito, hakuamini alichokuwa anakisikia.
Kama vile alitaka awe anaota, hajaelewa kabisa kuhusu mama ake Lucas Mwashambwa kupitishwa kugombea Urais 2025.
Sa itakuaje?
View attachment 3206927
Unadhani nini kilikuwa kinapita kichwani kwake muda huo? Nani alikuwa azimio lake? Au na yeye alitaka kuchukua fomu kumchalenji mama?
Ukubwa dawaHAzina ya watu msingemteua mzee wa miaka 100 kuwa makamu mwenyekiti
Clip imeshafika kwa mama, hata akihamia chadema, uchaguzi sio wake, ni wa Tume ya Uchaguzi, atanyooshwa hukohuko.Mpina ndo nadhani mmoja ya wanaume wachache waliobaki ndani ya CCM. Nyie aina yenu mnatikisa tu makalio kama hivyo. Wanaume huwa hatuna ashk majinuni sheikh wangu.
Hata kama ni wewe usingeelewa😂Wakuu,